Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Jinsi ukadiriaji wa nyota unavyofanya kazi

Mfumo wa Uber una pande mbili za kutathmini: madereva na wasafiri hutathminiana kulingana na huduma ya safari. Tathmini yako ya dereva ni wastani wa tathmini 500 za mwisho kutoka kwa wasafiri wako.

 • Katika video hii, utapata maelezo kuhusu:

  • When you’ll first see your average driver rating
  • How often your average changes
  • What riders think about when choosing a rating
  • What happens when a rider gives a lower rating
  • Where to see ratings and feedback
  Youtube

The basics of ratings

After each trip, riders and drivers have the opportunity to rate each other from 1 to 5 stars, based on their trip experience. Ratings are anonymous. You won’t see individual ratings tied to a particular trip or person.

Jinsi ya kupeana, kupata na kuangalia tathmini

1. After a trip, the app gives you and your rider each the opportunity to provide a rating.

2. If you or your rider chooses lower than 5 stars, the app may ask for a bit more feedback about why that rating was chosen.

3. Riders also have the option to choose from a set of compliments that apply to you or your trip together.

4. The app adds the ratings you get into an average that’s displayed to your riders before and during a trip. Your average rating is an average of the last 500 ratings you’ve received.

5. Unaweza kuona tathmini, maoni na pongezi zako kwenye App ya Uber Driver. Bonyeza aikoni ya menyu katika kona ya juu kushoto, kisha picha yako ya wasifu na ubonyeze tathmini ya wastani chini ya jina lako ili upate maelezo.

Maswali yanayoulizwa sana

 • Unaweza kupata maelezo yako ya tathmini kwenye wasifu wa dereva. Unaweza kuipata kwa kubonyeza aikoni ya menyu katika kona ya juu kushoto kwenye App ya Uber Driver, kisha ubonyeze picha yako.

 • Ikiwa msafiri alikupa tathmini ya chini kwa sababu ya bei, foleni au matatizo mengine ambayo hukuweza kuepuka, tathmini hiyo itaondolewa kwenye wastani wako.

 • No, you won’t receive star ratings for any canceled or unaccepted trips.

 • It’s normal for your average rating to vary over the course of your first 50 to 100 trips. This is because there are fewer available trips making up your average. As you complete more and more rated trips, your overall rating will be more stable.

 • Kutoa tathmini inayofaa kwa msafiri wako humsaidia kila mtu kunufaika zaidi kwenye mfumo wa Uber. Baadhi ya madereva huzingatia mambo haya 3 wanapomtathmini msafiri:

  1. Muda mfupi wa kusubiri: kuzingatia ikiwa msafiri alikuwa tayari kusafiri ulipowasili katika eneo la kuchukuliwa.
  2. Heshima: kukuheshimu wewe na gari lako na kudumisha usafi.
  3. Usalama: kuzingatia iwapo umehisi kwamba unalazimishwa kufanya jambo lolote ambalo linaweza kuhatarisha usalama au kukiuka Mwongozo wa Jumuiya ya Uber.

Taarifa inayopatikana kwenye ukurasa huu wa tovuti ni kwa madhumuni ya kutoa taarifa pekee na huenda isitumike katika nchi, kanda au jiji lako. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.