Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali angalia tena kwani upatikanaji wa bidhaa unaweza kubadilika.
Itisha usafiri, vyakula na usafirishaji kwenye mfumo mmoja
Rahisisha mchakato wako wa ununuzi kupitia huduma ya kimataifa inayobadilisha jinsi kampuni yako inavyosafirisha na kulisha watu wake.
Vipengele vya kina vinavyokusaidia kudhibiti gharama
Mipango maalum
Weka viwango na marupurupu kwa urahisi kulingana na wakati, eneo, bajeti na aina ya safari. Isitoshe, unaweza kuweka upendavyo timu au idara tofauti.
Ujumuishaji wa mfumo wa malipo
Wasiliana na kampuni inayokulipia gharama ili uhakikishe kuwa stakabadhi zinatumwa kiotomatiki na ziko tayari kwa ajili ya ripoti.
Ripoti na takwimu
Kadri timu yako inavyotumia Uber kazini, utaweza kufuatilia maelezo muhimu unayohitaji na kutuma ili uripoti haraka.
Pata huduma zote za Uber kwenye dashibodi moja
Safari za kikazi
Kwa kubofya tu, wafanyakazi wako wanaweza kuomba safari katika zaidi ya nchi 70 ulimwenguni kote. Tunafanya iwe rahisi kuweka ruhusa na kufuatilia matumizi.
Vyakula kwa wafanyakazi
Waruhusu wafanyakazi wako waagize kusafirishiwa chakula kutoka migahawa wanayopenda katika Uber Eats.
Kusafirisha chakula mahali ulipo
Tumia Uber Direct kusafirisha vifurushi na hati haraka na kwa urahisi.
Mipango ya usafiri
Wasaidie wafanyakazi wako wafike kazini kwa kufadhili safari za kwenda na kutoka ofisini.
Safari za bila malipo
Itisha usafiri kwa niaba ya wateja wako kwenye dashibodi ya Central—hahitaji kuwa na Smartphone.
Kupata wateja
Tumia Vocha kama zana ya ofa ya kusaidia wateja wengi kutembelea duka lako. Pia inaweza kutumiwa kutoa shukrani kwa wateja.
Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.
Gundua mengi zaidi kuhusu Uber for Business
Muhtasari
Kutuhusu
Huduma
Huduma
Kulingana na matumizi
Kulingana na tasnia
Usaidizi kwa wateja
Usaidizi
Nyenzo
Pata maelezo