Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi
Huenda vocha za milo zisipatikane katika nchi yako

Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali kumbuka kwamba Vocha za safari zinapatikana katika nchi yako.

X small

Lipia gharama ya safari na vyakula kwa Vocha

Wasiliana na wateja wapya na uwape huduma ya VIP watu wanaoendeleza biashara yako.

Boresha huduma yoyote kwa kutumia Vocha

  • Boresha hali ya wateja kuridhika

    Iwe unataka kufurahisha au kurekebisha mambo, Vocha hurahisisha mchakato wa uaminifu wa wateja.

  • Ongeza idadi ya wateja

    Ukilipia usafiri, utapata wateja. Lipia kiasi cha nauli za safari za kwenda na kutoka kwenye duka lako. Ni bora kwa ufunguzi rasmi na kuwawezesha wateja waendelee kurudi tena.

  • Ongeza idadi ya wateja kwa kutumia promosheni

    Fanikisha zaidi juhudi zako za masoko kwa ofa za safari na vyakula bila malipo. Inafaa kwa kuongeza wateja.

  • Wanunulie wateja watarajiwa chakula cha mchana

    Jitolee kulipia gharama ya chakula cha mchana kwa kutuma vocha kwa wateja wako wakuu unaotarajia. Kila mara chakula husaidia kuanzisha mazungumzo.

  • Toa marupurupu ya kipekee kwa ajili ya wafanyakazi

    Iwe ni safari ya kwenda kazini au malipo ya kila mwezi kwa ajili ya vyakula, Vocha zinaweza kusaidia kuwafanya wafanyakazi wako wafurahi na kuchangamka.

  • Boresha mchakato wako wa kuajiri

    Wapokee waombaji kwa ukarimu na uhakikishe kwamba wanafika kwa wakati kwa kuwalipia safari za kwenda na kutoka kwenye mahojiano.

1/6

Angalia jinsi Vocha zinavyofanya kazi

Kwa nini utumie Vocha

Faida ambayo wafanyakazi wako watapenda

Mamilioni ya watu ulimwenguni kote hutumia Uber. Wafurahishe wateja na wafanyakazi wako kwa kulipia gharama ya huduma ambayo tayari wanaiamini.

Rahisi kutuma na kukomboa

Unda vocha papo hapo na utume kupitia barua pepe, SMS na njia nyingine. Wateja wanaweza kukomboa kwa kubofya mara moja tu na utalipia tu safari wanazokwenda.

Ni rahisi kuunda vidokezi na ripoti

Fuatilia hali ya matumizi ya Vocha kwenye dashibodi ya Uber for Business. Tumia matokeo haya ili ufanikishe zaidi juhudi yako ijayo.

Samsung iliongeza mauzo ya vifaa vya mkononi vya Galaxy kwa asilimia 20 baada ya kuwapa wateja vocha za Uber Eats za USD100.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

*Offer is valid for new Uber for Business accounts only that create a Vouchers campaign for rides with Uber or orders with Uber Eats using the URL read by the podcast host, and that spend a minimum of $200 before April 1, 2021. The $50 voucher will be sent to the administrator who created the Vouchers campaign within 30 days of satisfying the requirements of this offer. The $50 voucher is valid for one order only and will expire on May 15, 2021. To redeem the discount, the admin must apply the voucher to the Wallet section of the Uber app prior to placing an order. Once the voucher is redeemed and if there is still a balance remaining on the order, the admin will be responsible for the remaining balance. The $50 voucher does not apply to tips. Vouchers are non-transferrable, have no cash value, and are subject to change or cancellation.

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili