Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Simamia milo na safari zako za kikazi katika dashibodi moja

Simamia malipo, dhibiti faida za akaunti, pata kuona matumizi ya programu na kadhalika, hayo yote kwenye dashibodi kuu.

Fikia vipengele thabiti kwenye dashibodi moja kuu

  • Weka sheria

    Fanya sera za usafiri na milo za wafanyakazi wako ziwe mahususi. Fafanua eneo, matumizi na muda unaowekwa.

  • Simamia malipo

    Chagua kulipa kwa kila safari au ujisajili katika malipo ya kila mwezi na upate stakabadhi moja kwa ajili ya kipindi hicho.

  • Fuatilia uzalishaji wa hewa ya ukaa

    Tathmini uzalishaji wa hewa ya ukaa wa shirika lako unaotokana na safari za barabarani. Pima maendeleo yako kuelekea mustakabali endelevu zaidi.

  • Fuatilia shughuli

    Kagua safari na milo yote ya wafanyakazi katika sehemu moja. Tengeneza ripoti zenye ufahamu zilizo na takwimu kuhusu saa, eneo, gharama na kadhalika.

  • Weka mipangilio ya kujumuisha gharama

    Weka mipangilio ya kutuma stakabadhi ya Uber kwa watoa huduma kama vile SAP Concur, Zoho Expense na wengineo.

  • Toa idhini

    Dhibiti ufikiaji wa wafanyakazi katika programu za Uber za kampuni yako kwa urahisi. Toa au uondoe ruhusa za mtumiaji binafsi au wengi.

1/6

Pata kila kitu unachohitaji kwenye dashibodi yetu

"Ukweli kwamba tunaweza kutoa ripoti moja kwa moja kwenye dashibodi kulingana na idara na timu na kulipia gharama zote, tayari ni mafanikio makubwa."

Sunil Madan, Afisa Mkuu wa Habari za Kampuni, Zoom

Programu unazoweza kuanzisha na kusimamia

Safari za kikazi

Wafanyakazi wako wanaweza kuweka nafasi ya safari katika zaidi ya miji 10,000 kote ulimwenguni kwa kubofya kitufe. Tunafanya iwe rahisi kuweka ruhusa na kufuatilia matumizi.

Milo

Waruhusu wafanyakazi na wateja wapate vyakula wapendavyo vya eneo husika kutoka kwa washirika zaidi ya 780,000 wanaomiliki migahawa, huku ukidhibiti bajeti na sera.*

Safari

Wasaidie wafanyakazi wako wafike kazini salama kwa kufadhili safari za kwenda na kutoka ofisini. Ni rahisi kuweka vikomo vya eneo, wakati wa siku na bajeti.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

*Uber Eats haipatikani katika maeneo yote ambapo safari zinatolewa kwenye programu ya Uber. Angalia ubereats.com/location ili ujue upatikanaji kwenye jiji na nchi.

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili