Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Jinsi tunavyosaidia kudumisha usalama wako

Tumekuletea teknolojia ya ubunifu ili kuhakikisha kwamba unapokea huduma nzuri, jumuishi na salama.

Kuimarisha usalama zaidi

Teknolojia inayoweza kubadilishwa

Tunaunda vipengele vya ndani ya App ili kukuwezesha kuwa salama—kutokana na ufuatiliaji wa GPS unaogundua ikiwa umepotea njia na zana zinazothibitisha barakoa.

Uwajibikaji wa pamoja

Tunasaidia kuhakikisha kwamba madereva, wasafiri, matarishi na wateja wote wa chakula wana fursa ya kuimarisha usalama baina yao wanapotumia Uber.

Ujumuishaji wa usalama

Katika baadhi ya masoko, tunasaidia kudhibiti hatari kupitia ujumuishaji wa Concur Locate na International SOS.

Kusaidia kudumisha usalama wako kila wakati

Concur Locate na International SOS zimeunganishwa

Tumeshirikiana na teknolojia bora za mawasiliano ya kudhibiti hatari na usalama wa wafanyakazi inayokuwezesha kuwasiliana na wafanyakazi kwa haraka.

Kila safari inalindwa kwa bima

Uber inalipa angalau bima ya dola milioni 1 kwa niaba ya madereva wa Marekani wanaposafiri na msafiri.

Uchunguzi wa Dereva na Tarishi

Madereva na matarishi huchunguzwa kabla hawajaweza kutumia tovuti ya Uber.

Mwongozo wa Jumuiya

Kila mtu anayejisajili kwenye akaunti ya Uber katika programu zetu zote anatakiwa kuheshimu wenzake, kusaidia kuimarisha usalama na kufuata sheria.

Kumpa kila mtu utulivu

Tunajitahidi kuboresha usalama wa jumuiya zote tunazohudumia wasafiri, madereva, wasafirishaji na biashara.

  • Zana za Usalama za ndani ya App

    Hii ni sehemu maalum katika App ambapo wasafiri na madereva wanaweza kupata maelezo muhimu ya usalama kwa urahisi, kufikia usaidizi wa dharura haraka na kuonesha wahudumu wa dharura mahali walipo.

  • RideCheck

    Kwa kutumia sensa na GPS, RideCheck husaidia kugundua ikiwa umepotea njia, ikiwa kuna kusimama kwa muda mrefu kusikotarajiwa au ajali ikitokea, kisha huingia ili kukupa usaidizi. Vipengele mahususi hutofautiana kulingana na soko.

  • Kitufe cha usaidizi wa dharura

    Unaweza kutumia Kitufe cha Dharura cha ndani ya programu kupiga simu 911 ili upate msaada ukiuhitaji. Programu huonyesha mahali ulipo na maelezo ya safari, ili uweze kuyatuma kwa haraka kwa mhudumu wa 911. Katika baadhi ya miji nchini Marekani, taarifa hizo hushirikiwa kiotomatiki na watoa huduma za dharura unapopiga simu.

1/3

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

*Isipokuwa katika jiji la New York ambapo ukaguzi wa historia ya kuendesha gari hufanywa na Taxi and Limousine Commission kwa madereva wanaotumia tovuti ya Uber.

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili