Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali angalia tena, kwa sababu upatikanaji wa bidhaa unaweza kubadilika.
Tovuti iliyobuniwa ili kuendeleza huduma za serikali
Mashirika ya serikali hutegemea Uber ili kusafirisha na kuwaletea chakula wafanyakazi wao na wakazi.
Jinsi mashirika ya serikali yanavyotumia tovuti yetu
Safari za wafanyakazi
Kuanzia safari za uwanja wa ndege hadi mikutano katika sehemu mbalimbali za mji, tunafanya iwe rahisi kuweka ruhusa na kufuatilia matumizi.
Kusafirisha hati
Tumia Uber ili ikusaidie kutuma na kupokea hati halisi na mikataba muhimu.
Kusafirisha chakula
Iwe uko ofisini au mtaani, Uber Eats huwasaidia wafanyakazi wapate milo na kuisafirisha hadi mahali walipo.
Kubadilisha magari
Ni rahisi kusafiri mjini wakati unaweza kuomba safari ukitumia Uber. Punguza gharama za msururu wa magari na uendelee kuchapa kazi.
Safari za dharura
Lipia gharama za safari ukitumia Vocha ili uwasaidie wananchi wafike mahali wanapohitaji kwenda wakati wa dharura au hali mbaya ya hewa katika eneo husika.
Kusafirisha chakula
Waruhusu wenye uhitaji wachague kutoka kwenye menyu za migahawa ya eneo lako, nawe ushughulikie bili.
Usaidizi wakati gari linaharibika barabarani
Tumia Central kuwaombea safari wakazi waliokwama na uwafikishe mahali salama wanaposubiri msaada.
Jinsi Uber inavyosaidia shirika lako
Usalama umepewa kipaumbele
Uber imeupa usalama kipaumbele. Vipengele vyetu vinasaidia kuwalinda wasafiri na madereva, kwa hivyo unaweza kuwa na utulivu wa akili.
Upatikanaji kote ulimwenguni
Programu hii inapatikana katika zaidi ya nchi 70 na miji 10,000, hivyo kufanya iwe rahisi kuomba safari na kuagiza milo kote ulimwenguni.
Kulipia gharama kwa urahisi
Uber for Business hutoa huduma kwa kujumuisha SAP Concur na watoa huduma wengine. Huhitaji kurejeshewa pesa au kupata idhini ya msimamizi.
Usaidizi mahususi
Usaidizi kwa wateja wa Uber mtandaoni hupatikana saa 24. Kwa hivyo, ikiwa una maswali yoyote au unahitaji msaada wa kutatua tatizo, wasiliana nasi.
Shirika lako linazidi kuimarika. Tuko hapa kukusaidia.
Muhtasari
Kutuhusu
Huduma
Huduma
Kulingana na matumizi
Kulingana na tasnia
Usaidizi kwa wateja
Usaidizi
Nyenzo
Pata maelezo