Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Huduma bora ya Uber for Business

Mfumo wa kimataifa kwa mahitaji yako yote ya biashara

Safari

Vyakula

Kusafirisha Chakula

Kwa nini utumie mfumo wetu

Fikia Uber kote ulimwenguni

Punguza na udhibiti matumizi

Upe usalama kipaumbele

Wafurahishe wafanyakazi wako

Jiunge na zaidi ya kampuni 150,000 zinazofanya kazi nasi, ikijumuisha zaidi ya nusu ya idadi ya kampuni zilizo kwenye Fortune 500

Wakati kampuni inayoongoza katika mikutano ya video, Zoom, ilipoanza kuimarika kote ulimwenguni, Uber ilipiga hatua nayo ili kuwasaidia wafanyakazi wake kupata usafiri kote ulimwenguni.

Wakati wafanyakazi walianza kufanya kazi nyumbani, Kampuni ya Coca-Cola ilitoa vocha za Uber Eats ili kusaidia kukukuza motisha ya wafanyakazi na migahawa ya karibu.

Mauzo ya simu ya mkononi ya Galaxy kwenye kampuni ya Samsung Canada yaliongezeka kwa asilimia 20, hii inatokana na kuwapa wateja vocha za Uber Eats za dola 100.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa kukusaidia.

Chagua lugha ambayo unapendelea
EnglishKiswahili