Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali kumbuka kwamba Vocha za safari zinapatikana katika nchi yako.
Boresha huduma yoyote kwa kutumia Vocha
Boresha hali ya wateja kuridhika
Iwe unataka kufurahisha au kurekebisha mambo, Vocha hurahisisha mchakato wa uaminifu wa wateja.
Ongeza idadi ya wateja
Ukilipia usafiri, utapata wateja. Lipia kiasi cha nauli za safari za kwenda na kutoka kwenye duka lako. Ni bora kwa ufunguzi rasmi na kuwawezesha wateja waendelee kurudi tena.
Ongeza idadi ya wateja kwa kutumia promosheni
Fanikisha zaidi juhudi zako za masoko kwa ofa za safari na vyakula bila malipo. Inafaa kwa kuongeza wateja.
Wanunulie wateja watarajiwa chakula cha mchana
Jitolee kulipia gharama ya chakula cha mchana kwa kutuma vocha kwa wateja wako wakuu unaotarajia. Kila mara chakula husaidia kuanzisha mazungumzo.
Toa marupurupu ya kipekee kwa ajili ya wafanyakazi
Iwe ni safari ya kwenda kazini au malipo ya kila mwezi kwa ajili ya vyakula, Vocha zinaweza kusaidia kuwafanya wafanyakazi wako wafurahi na kuchangamka.
Boresha mchakato wako wa kuajiri
Wapokee waombaji kwa ukarimu na uhakikishe kwamba wanafika kwa wakati kwa kuwalipia safari za kwenda na kutoka kwenye mahojiano.
Muhtasari
Kutuhusu
Huduma
Huduma
Kulingana na matumizi
Kulingana na tasnia
Usaidizi kwa wateja
Usaidizi
Nyenzo
Pata maelezo