Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali angalia tena, kwa sababu upatikanaji wa bidhaa unaweza kubadilika.
Boresha huduma kupitia ofa
Timu za mauzo na matangazo zinatumia usafiri na vyakula kusaidia kuongeza mawasiliano na idadi ya wateja.
Jinsi timu za mauzo na utangazaji zinatumia mfumo wetu
Ongeza idadi ya wateja kwa kutumia ofa
Fanikisha zaidi juhudi zako za matangazo kwa ofa za safari na vyakula. Zana bora ya kupata wateja.
Ongeza idadi ya wateja
Ukilipia usafiri, utapata wateja. Lipia kiasi cha nauli za safari za kwenda na kutoka kwenye duka lako. Ni bora kwa ufunguzi rasmi na kuwawezesha wateja waendelee kurudi tena.
Ongeza idadi ya wanaohudhuria matukio
Kadri watu wengi watakavyohudhuria tukio lako, ndivyo litakavyokuwa bora zaidi. Tumia Vocha ili kutoa usafiri wa kuhudhuria matukio ya moja kwa moja au usafirishaji wa chakula kwa matukio ya mtandaoni.
Boresha mipango ya uaminifu
Washukuru wateja wako muhimu kwa kuwapa ofa za usafiri na chakula kama sehemu ya mpango wako wa uaminifu.
Fikia wateja wengi unaowatarajia
Jitolee kulipia gharama ya chakula cha mchana kwa kutuma vocha kwa wateja wako wakuu unaotarajia. Kila mara chakula husaidia kuanzisha mazungumzo.
Boresha idadi ya wanaoshiriki kwenye utafiti
Tumia kadi za zawadi za Uber kama motisha kwa kukamilisha utafiti wako ujao wa mauzo. Ni vigumu kuacha usafiri au chakula cha bure.
Samsung iliongeza mauzo ya vifaa vya mkononi vya Galaxy kwa asilimia 20 baada ya kuwapa wateja vocha za Uber Eats za USD100.
TGI Fridays hutumia Vocha ili kurahisishia wateja kuja kwenye migahawa wakati wa ofa.
Golden State Warriors ilishirikiana na Uber for Business kutafuta njia za kuboresha huduma kwa mashabiki katika Chase Center.
Zana na vipengele unavyohitaji ili kuboresha matokeo
Anzisha ofa kwa urahisi
Weka vocha papo hapo na usambaze kupitia barua pepe, ujumbe na njia nyingine. Wape namba maalum au ya jumla.
Lipia tu vocha zilizotumika
Ukiwa na Vocha, unalipia tu safari na vyakula ambavyo wateja wako wanatumia na unaweza kufuatilia hali ya utumiaji kwenye dashibodi yetu.
Dhibiti gharama zako
Weka kikomo cha safari na chakula kwenye ofa za Vocha kulingana na siku, saa, mahali na bajeti. Tunakusaidia usipitishe bajeti yako.
Kuboresha matukio ya mtandaoni
Kadri matukio mengi ya mauzo yanavyoendelea mtandaoni, tunasaidia biashara kupata njia mpya za kuongeza wageni na kudumisha ushirikiano.
Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.
Gundua mengi zaidi kuhusu Uber for Business
Muhtasari
Kutuhusu
Huduma
Huduma
Kulingana na matumizi
Kulingana na tasnia
Usaidizi kwa wateja
Usaidizi
Nyenzo
Pata maelezo