Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Rahisisha safari za kikazi

Simamia mpango wako wa usafiri kupitia sheria zinazoweza kubadilika na ripoti zilizoboreshwa unazohitaji. Tovuti yetu inawapa wasafiri wa kampuni uwezo wa kupata safari, milo ya kusafirishwa, machaguo ya kutunza mazingira na kulipia gharama kwa urahisi katika zaidi ya nchi 70, ili uweze kuendelea kusafiri.

Unasafiri na una udhibiti kote ulimwenguni

Toa ufikiaji wa safari na milo kote ulimwenguni, pamoja na zawadi nzuri kwa wafanyakazi wako; hayo yote kwa kubofya kitufe.

Boresha mpango wako wa usafiri kupitia udhibiti, uonekanaji na uunganishaji bora unaoweza kubadilika kwa kutumia mifumo maarufu.

Kuanzia kwa magari ambayo yanatunza mazingira hadi ripoti ya uendelevu, tunatoa uwezo wa kufuatilia, kuripoti na kupunguza uzalishaji wao wa hewa ya ukaa kwenye safari za barabarani. Jiunge nasi katika jitihada za kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa.

Jinsi inavyofanya kazi

Dashibodi ndiyo sehemu ambapo mambo yote hufanyika. Ni kituo chako kikuu cha kufikia na kufanya mipango ya usafiri, milo na kadhalika iwe mahususi. Unaweza hata kupata ripoti za wakati halisi na kufuatilia taarifa za hivi karibuni.

Jiwekee vipimo

Weka vikomo vya safari na milo kulingana na siku, wakati, eneo na bajeti. Pia unaweza kuwaruhusu wafanyakazi wako walipe kwa kutumia akaunti moja ya kampuni au kadi zao binafsi.

Waalike wafanyakazi wanaostahiki

Wasajili wafanyakazi wako kwa kuwaalika wajiunge kwenye wasifu wa kampuni. Ili iwe rahisi, wafanyakazi wanaweza kuunganisha wasifu wao binafsi na wasifu wa kampuni kupitia barua pepe au ujumbe wa maandishi.

Anza safari

Wafanyakazi wanaweza kuanza kufurahia safari na kufikishiwa milo wanayopenda huku ukisimamia hayo yote kwenye dashibodi.

Fuatilia gharama

Sahau kuhusu kuhifadhi stakabadhi. Weka kila safari na mlo kiotomatiki kwenye mifumo ya kulipa inayoweza kukaguliwa kila wiki au kila mwezi kwa ajili ya ufuatiliaji rahisi wa bajeti.

Kutegemea na uthabiti unaojua katika chaguzi zote za safari za kulipiwa za biashara

Watoa huduma tunaoshirikiana nao

Ili kuokoa muda na kuboresha kuridhika kwa wafanyakazi, tumeshirikiana na watoa huduma maarufu wa uunganishaji, ikiwa ni pamoja na hawa:

Tuma maelezo ya safari pamoja na picha ya stakabadhi moja kwa moja kutoka kwenye wasifu wako wa Uber for Business kwa kutumia uunganishaji wa Chrome River.

Ikiwa inapatikana katika zaidi ya nchi 70, unaweza kuunganisha Uber for Business na SAP Concur.

"Wafanyakazi wetu wanaweza kuendelea kufanya kazi badala ya kujaribu kusafiri katika jiji wasilofahamu kwa gari la kukodisha."

Mattie Yallaly, Msimamizi wa Usafiri na Gharama, Perficient

Tumia Uber for Business kusafiri

Nyenzo za kuendeleza biashara yako

Waridhishe wasafiri wa kikazi barabarani kwa kutumia vidokezi hivi 4 ili kuupa kipaumbele ustawi wa wasafiri.

Zaidi ya mashirika 170,000 yanatumia Uber for Business kuwasafirisha wafanyakazi wake vyema na kwa starehe wanaporudi kazini.

Uongozi wa uendelevu wa kimataifa wa Uber unajadili njia ya kampuni ya kutozalisha hewa ya ukaa na jinsi biashara zinavyoweza kupima mafanikio ya juhudi zake za kutunza mazingira.

  • Uber inakuwezesha kutambulika, kufanya kazi kwa urahisi na bila usumbufu. Wasafiri wanaweza kupata gharama ya safari kabla ya kuomba. Pindi wanapokuwa tayari, wanaweza kuomba kwa kugusa mara chache tu. Msimamizi wa kampuni anaweza kuona safari zote ambazo msafiri wa biashara husafiri kwenye akaunti ya shirika ili aweze kuelewa matumizi na gharama. Uber pia hutoa vipengele vya usalama vilivyojengewa ndani, ikiwa ni pamoja na ufuatiliaji wa GPS, ili kutoa utulivu wa akili kwa wasafiri wa biashara.

  • Uber for Business imeshirikiana na watoa huduma wakuu kusaidia kampuni kuokoa muda na kuboresha kuridhika kwa wafanyakazi. Pia tumeunganisha na programu ya usafiri wa biashara ya Deem, Etta, ili kurahisisha mchakato wa kuweka nafasi ya usafiri wa ardhini kwa wasafiri.

  • Uber for Business kwa sasa inapatikana katika nchi zaidi ya 70 na inaendelea kupanuka. Ili kuthibitisha kama Uber for Business inapatikana katika nchi yako, tafadhali angalia kama unaweza kufikia Business Hub katika sehemu ya Akaunti ya programu ya Uber.

  • Ukiwa na Uber for Business, bili na ankara zinaweza kunyumbulika na zinaweza kubadilishwa kulingana na mahitaji yako. Wanatimu wako wanaweza kutoza safari zao kwenye akaunti ya kampuni kuu au kutumia kadi zao za mikopo za binafsi au za shirika. Zaidi ya hayo, marudio ya bili yanaweza kuwekwa ili kutokea kwa kila safari au kila mwezi. Tafadhali kumbuka kuwa maelezo mahususi ya mpangilio wa bili yanaweza kutofautiana kutoka soko moja hadi jingine.

  • Uber for Business imeunganishwa na baadhi ya watoa huduma wakuu wa gharama duniani, ikiwa ni pamoja na Chrome River, Expensify, SAP Concur, na Zoho Expense. Unaweza kupata maelezo zaidi na kuona watoa huduma wenginehapa

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili