Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi
Baadhi ya bidhaa zinazorejelewa kwenye ukurasa huu huenda zisipatikane katika nchi yako

Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali angalia tena kwani upatikanaji wa bidhaa unaweza kubadilika.

X small

Wape timu zako za mseto na zilizosambazwa marupurupu watakayopenda

Jiunge na tovuti ambayo imeundwa kwa ajili ya biashara zenye ukubwa wowote. Anza safari baada ya dakika chache kwa kujisajili mwenyewe.

Wezesha timu zako, bila kujali jinsi zinavyofanya kazi

Toa chaguo la safari linaloweza kubadilika

Wape wafanyakazi machaguo ya usafiri usio na usumbufu na unaoweza kubadilika wa kwenda na kutoka kazini ili kuwasaidia wafikirie upya safari zao za kila siku.

Wahamasishe watu wote kupitia milo

Chakula bora kinafaa kwa ajili ya kuhamasisha timu. Iwe wafanyakazi wanafanya kazi ofisini mwako au kwenye ofisi yao ya nyumbani, wanaunda urafiki wakati wa milo ya timu.

Boresha kuridhika kupitia vocha

Kwa kazi nzuri au kwa sababu tu. Wazawadie, wahamasishe na uwatie moyo wafanyakazi wako kwa kuwapa vocha za usafiri na milo.

Pata marupurupu yako ya kazi ya mseto

Anza kwa kujisajili

Iwe wewe ni biashara ndogo au shirika la kiwango cha biashara, unaweza kuchunguza machaguo ambayo yanaonyesha jinsi wewe na timu yako mnavyofanya kazi.

Weka programu rahisi, zinazoweza kubadilika

Kupitia dashibodi ya kazini, utaweza kuwapa wafanyakazi wako machaguo ya chakula na safari kwa urahisi.

Okoa muda kwa kurahisisha gharama

Fuatilia programu na usimamie malipo ukitumia stakabadhi na ripoti za kiotomatiki.

Ipe timu yako uzoefu wa kazi ya mseto wanaostahili

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili