Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Boresha matukio muhimu ukitumia zawadi za kampuni kutoka Uber

Kadi za zawadi¹ na vocha² ni njia rahisi na mwafaka za kuonyesha shukrani kwa washiriki kwenye timu na wafanyakazi na kujenga uhusiano wa kudumu na wateja.

Fanya tukio liwe muhimu zaidi

  • Sikukuu

    Chaguo za zawadi zilizo tayari kusafirishwa, pamoja na vyakula na safari za karamu yako ya kila mwaka. Gundua mawazo zaidi ya likizo.

  • Msimu wa kuanza kwa mauzo

    Wahamasishe kwa bahati nasibu na zawadi au uwape usafiri wahudhurie hafla kubwa.

  • Msimu wa mkutano

    Fanya kufikia kila muhtasari na hafla ya kutangamana kuwa muhimu zaidi.

1/3
1/2
1/1

Kutoa zawadi huleta matokeo

Asilimia 73 ya wafanyikazi wanasema kuna uwezekano mdogo wa kupata uchovu wanapohisi kazi yao inatambulika³

Pata njia rahisi ya kuwaonyesha wafanyikazi upendo

Wasimamizi wanaweza kuchagua kati ya kadi za zawadi au vocha ili watosheleze mahitaji yao, kuanzia kuwatambua watu binafsi kwa kufanya kazi vyema hadi kusherehekea timu nzima.

Badilisha upendavvyo jinsi unavyowaonyesha wateja kuwa unawajali

Furahia matukio muhimu unapotuma ishara maalum za shukrani kwa wateja, zenye maelezo kama vile vikomo vilivyowekwa mapema, tarehe na maeneo ya kubadilishwa upendavyo.

Tayarisha tukio la kukumbuka—kila wakati

Warahisishie zaidi kuliko hapo awali walioalikwa kuhudhuria wakitumia usafiri kisha uchangamshe shughuli hiyo ya kusisimua zaidi kwa kutoa vyakula kupitia Uber Eats.

¹Kadi za zawadi katika dola za Marekani hutolewa na The Bancorp Bank, N.A.

²Sheria na masharti ya Uber yatatumika na yatatolewa baada ya usambazaji au kudai vocha.

³“Mwongozo wa zawadi na kutambuliwa kwa mfanyakazi,” Uber Blog (tarehe 12 Septemba, 2024), uber.com/us/en/business/articles/mwongozo-kwa-mfanyakazi-rewards-and-recognition.

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili