Ruka uende katika maudhui ya msingi

Simamia milo na safari zako za kikazi katika dashibodi moja

Simamia malipo, dhibiti faida za akaunti, pata kuona matumizi ya programu na kadhalika, hayo yote kwenye dashibodi kuu.

Fikia vipengele thabiti kwenye dashibodi moja kuu

Pata kila kitu unachohitaji kwenye dashibodi yetu

"Ukweli kwamba tunaweza kutoa ripoti moja kwa moja kwenye dashibodi kulingana na idara na timu na kulipia gharama zote, tayari ni mafanikio makubwa."

Sunil Madan, Afisa Mkuu wa Habari za Kampuni, Zoom

Programu unazoweza kuanzisha na kusimamia

Safari za kikazi

Wafanyakazi wako wanaweza kuweka nafasi ya safari katika zaidi ya miji 10,000 kote ulimwenguni kwa kubofya kitufe. Tunafanya iwe rahisi kuweka ruhusa na kufuatilia matumizi.

Milo

Waruhusu wafanyakazi na wateja wapate vyakula wapendavyo vya eneo husika kutoka kwa washirika zaidi ya 780,000 wanaomiliki migahawa, huku ukidhibiti bajeti na sera.*

Safari

Wasaidie wafanyakazi wako wafike kazini salama kwa kufadhili safari za kwenda na kutoka ofisini. Ni rahisi kuweka vikomo vya eneo, wakati wa siku na bajeti.

Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.

*Uber Eats haipatikani katika maeneo yote ambapo safari zinatolewa kwenye programu ya Uber. Angalia ubereats.com/location ili ujue upatikanaji kwenye jiji na nchi.

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili