Huenda ukatatizika wakati wa kujisajili au kupokea taarifa kutoka kwa mwanatimu wa mauzo. Tafadhali angalia tena, kwa sababu upatikanaji wa bidhaa unaweza kubadilika.
Wafurahishe wageni wako kwa kuwalipia usafiri na vyakula
Tunarahisisha mchakato wa kuandaa huduma bora kwa wageni.
Ni bora zaidi kwa wageni wako na huokoa pesa
Toa usafiri unaohitajika kwenda na kutoka kwenye uwanja wa ndege ukitumia Vocha badala ya kutumia usafiri wa basi wenye gharama kubwa.
Itisha usafiri kwa kutumia Central kwa niaba ya wageni ili kupata manufaa bora ambayo yatawafanya warudi.
Ukiwa na vocha za chakula, wageni wako hupata vyakula vitamu na utasaidia biashara za mahali ulipo.
Kwa nini sekta ya utalii inapenda mfumo wetu
Lipa tu wageni wanaposafiri au kula
Unapotumia Vocha, utaamua kiasi utakacholipa kwa safari na vyakula. Isitoshe, unalipa tu anapotumia huduma hii.
Itisha safari nyingi mara moja
Ukitumia Central, ni rahisi kuitisha usafiri sasa au kupanga safari za baadaye. Hakuna kikomo cha idadi ya safari ambazo unaweza kwenda mara moja.
Uupe usalama kipaumbele
Kuanzia orodha za ukaguzi wa usalama wa COVID-19 hadi uchunguzi wa lazima wa uhalifu kwa madereva, tumechukua hatua za kumlinda kila mtu anayetumia mfumo wetu.
Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.
Muhtasari
Kutuhusu
Huduma
Huduma
Kulingana na matumizi
Kulingana na tasnia
Usaidizi kwa wateja
Usaidizi
Nyenzo
Pata maelezo