Njia mbili za kuanza kutumia Uber for Business
- Njia ya haraka zaidi ya kujisajili kwenye kampuni zenye ukubwa wote
- Utaratibu wa kulipa uliorahisishwa na uwezo wa kulipa kwa kutumia kadi moja ya benki bila ada za huduma
- Ufikiaji wa vipengele vyote vya dashibodi, ikiwemo kuunganishwa na tovuti maarufu za gharama na usafiri, usaidizi kwa wateja, vipimo vya uendelevu na kituo cha msaada
- Kwa kampuni zilizo na wafanyakazi zaidi ya 250
- Uwezo wa kusimamia mbinu nyingi za malipo pamoja na ulipaji uliorahisishwa, usaidizi wa ankara na hakuna ada za huduma
- Usaidizi mahususi pamoja na ufikiaji wa vipengele vyote vya dashibodi, ikiwemo kuunganishwa na tovuti maarufu za gharama na usafiri na vipimo vya uendelevu
Hauko tayari kuanza?
Angalia nyenzo hizi ili upate maelezo zaidi kuhusu jinsi Uber for Business inavyoweza kusaidia wafanyakazi na wateja wako.
Pata maelezo zaidi kuhusu uwezo wa Uber for Business katika shughuli za kila siku na jinsi tovuti yetu ya kimataifa inavyoweza kutoa huduma mahususi.
Waridhishe wasafiri wa kikazi barabarani kwa kutumia vidokezi hivi 4 ili kuupa kipaumbele ustawi wa wasafiri.
Kupambana na mabadiliko ya tabianchi ni jitihada za timu. Kama mshirika anayejivunia uendelevu wa kampuni ulimwenguni kote, tunaweza kukusaidia kubadilisha malengo ya tabianchi yawe matokeo yanayoendelea.
Muhtasari
Kutuhusu
Huduma
Huduma
Kulingana na matumizi
Kulingana na tasnia
Usaidizi kwa wateja
Usaidizi
Nyenzo
Pata maelezo