Rahisisha ripoti za gharama zako kwa miunganisho ya mfumo
Tumeshirikiana na mifumo maarufu ya malipo ili kusaidia biashara kuokoa muda na kuboresha kuridhika kwa wafanyakazi.
Perficient imerahisisha mchakato wa kulipia usafiri wa wafanyakazi wa kampuni kwa kutumia Uber for Business na SAP Concur.
Faida za kuunganisha mfumo wa malipo unaopenda.
Michakato otomatiki ya kulipa
Risiti za safari na vyakula vya wafanyakazi zitawekwa moja kwa moja kwenye dashibodi ya mfumo wa malipo. Okoa muda wa kufuatilia risiti.
Utaratibu rahisi wa kuzingatia sera
Utakuwa na chaguo la kuwaelekeza wafanyakazi wachague msimbo wa gharama kwenye orodha kabla ya kuitisha usafiri au chakula.
Mchakato rahisi wa kusajili wafanyakazi
Weka wafanyakazi wapya kwenye akaunti yako ya Uber for Business kiotomatiki kwa kusawazisha na orodha ya wafanyakazi katika mfumo wa malipo.
Dhibiti gharama na uweke ruhusa kwenye dashibodi yetu
Pata maelezo kuhusu jinsi dashibodi yetu inavyosaidia biashara kutekeleza malipo, kusimamia faida za akaunti, kuchanganua matumizi ya mpango na zaidi—haya yote kwenye dashibodi kuu.
Biashara yako inazidi kuimarika. Tuko hapa ili kukusaidia.
Gundua mengi zaidi kuhusu Uber for Business
Muhtasari
Kutuhusu
Huduma
Huduma
Kulingana na matumizi
Kulingana na tasnia
Usaidizi kwa wateja
Usaidizi
Nyenzo
Pata maelezo