Chaguo za safari kwenye ukurasa huu ni mfano wa bidhaa za Uber na huenda baadhi ya bidhaa zisipatikane mahali ambapo unatumia App ya Uber. Ukiangalia ukurasa wa wavuti wa jiji uliko au uangalie kwenye App, utaona usafiri unaoweza kuitisha.
UberX
Jipatie usafiri wa bei nafuu.
Sababu za kutumia UberX kusafiri
Safari ya kibinafsi kwa bei ya kawaida
UberX ni chaguo bora ukiwa kwenye shughuli na ungependa kuweka miadi.
Idadi ya wasafiri
Chaguo hili linaweza kubeba hadi watu 4, mtu mmoja katika kiti cha mbele na 3 nyuma.
Bei nafuu
Chagua UberX kwa mahitaji yako ya kila siku, iwe ni kusafiri au kwenda kwenye uwanja wa ndege, nyumbani au mahali pengine popote.
Jinsi ya kusafiri kwa UberX
1. Ombi
Fungua App kisha uweke mahali unakoenda katika kisanduku cha “Unaenda wapi?”. Baada ya kuthibitisha kwamba eneo la kuchukuliwa na mahali unakoenda ni sahihi, chagua UberX .
Baada ya kukutanishwa na dereva, utaona picha yake na maelezo ya gari na unaweza kumfuatilia kwenye ramani anapokuja kukuchukua.
2. Safari
Hakikisha kwamba maelezo ya gari yanafanana na maelezo unayoona kwenye App kabla uingie kwenye gari.
Dereva wako anajua unakoenda na ana maelekezo yatakayokufikisha kwa haraka, lakini unaweza kumwomba atumie barabara unayopenda.
3. Shuka
Utatozwa kiotomatiki kwa kutumia njia ya malipo uliyoweka kwenye akaunti, kwa hivyo unaweza kushuka kwenye gari pindi unapofika uendako.
Kumbuka kumtathmini dereva wako ili Uber iendelee kuimarisha usalama kwa manufaa ya kila mtu.
Safiri vizuri kwa Uber Reserve
Complete your plans today by reserving a ride.¹ Request your ride up to 90 days ahead with Uber Reserve, so getting there is the last thing on your mind.
Maelezo zaidi kutoka Uber
Safiri kwa gari unalotaka.
UberX Share
Safiri pamoja na hadi msafiri mmoja kwa wakati mmoja
Hourly
Vituo vingi vya kusimama kadiri unavyopenda kwenye gari moja
UberX Saver
Subiri ili uokoe pesa. Inapatikana kwa muda mfupi
Baiskeli
Baiskeli za umeme pale unapozihitaji ambazo hukuruhusu kwenda mbali zaidi
Moto
Safari za pikipiki za bei nafuu na rahisi
Uber Transit
Maelezo ya usafiri wa umma kwa wakati halisi kwenye programu ya Uber
Uber Comfort
Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha ya kuweka miguu
Uber Black SUV
Safari za starehe kwa watu 6 katika magari ya kifahari ya SUV
Nyenzo iliyo kwenye tovuti hii ni kwa madhumuni ya taarifa pekee na huenda isitumike katika nchi, eneo au mji ulipo. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.
¹ Unapoomba safari ya Uber Reserve, bei ya safari unayoona itakuwa makadirio yanayojumuisha ada ya kuweka nafasi inayoweza kutofautiana kulingana na eneo la kuchukuliwa na/au siku na saa ya safari yako. Ada hii hulipwa na wasafiri kwa muda wa ziada ambao dereva wao anasubiri na umbali au muda anaotumia kusafiri hadi eneo la kuwachukua.
Kuhusu