Kwa nini utumie App ya Uber?
Usafiri unapouhitaji
Itisha usafiri wakati na siku yoyote ya mwaka.
Usafiri wa bei nafuu
Linganisha nauli za usafiri tofauti, iwe ni safari za kila siku au safari maalum unapoenda kujiburudisha jioni.
Njia rahisi ya kukufikisha unakoenda
Bonyeza na umruhusu dereva wako akufikishe unakoenda.
Usalama wako ni muhimu
Safiri bila wasiwasi wowote.
Vipengele vya usalama
Waoneshe wapendwa wako mahali uliko. Pata usaidizi kwa kubofya kitufe tu. Teknolojia imeboresha pakubwa usalama wa safari.
Jumuiya inayojali maslahi ya kila mtu
Mamilioni ya wasafiri na madereva wetu hutumia Mwongozo wa Jumuiya na tunatarajia kila mtu afanye jambo linalofaa.
Kuna usaidizi wakati wowote
Pata usaidizi katika programu wakati wowote iwapo una maswali au wasiwasi kuhusu usalama.
Aina za usafiri ukiwa eneo husika
UberX
1-3
Affordable rides, all to yourself
Comfort
1-3
Newer cars with extra legroom
UberXL
1-5
Affordable rides for groups up to 5
Uber Green
1-3
Eco-Friendly
Uber Pet
1-3
Affordable rides for you and your pet
Connect
1-4
Send packages to friends & family
Black Hourly
1-4
Luxury rides by the hour with professional drivers
Black
1-3
Luxury rides with professional drivers
Black SUV
1-5
Luxury rides for 5 with professional drivers
Taxi
1-3
Local taxi-cabs at the tap of a button
UberX Car Seat
1-3
Affordable, everyday rides equipped with car seats
Black Car Seat
1-3
Luxury rides equipped with a car seat
Black SUV Car Seat
1-5
Luxury rides for up to 5, equipped with a car seat
Kila mahali unakosafiri
Zaidi ya miji 10,000
Programu hii inapatikana katika maelfu ya miji kote ulimwenguni, kwa hivyo unaweza kuomba safari hata ukiwa mbali na nyumbani.
Zaidi ya viwanja 500 vya ndege
Unaweza kuitisha usafiri kwenda na kutoka kwenye baadhi ya viwanja vikuu vya ndege. Panga usafiri wa kwenda kwenye uwanja wa ndege kwa urahisi.
Njia ambazo watu hutumia kusafiri kote ulimwenguni
App ya Uber inakupa uwezo wa kufika unakotaka kwenda kwa kutumia aina mbalimbali za usafiri katika zaidi ya miji 10,000.
Maswali yanayoulizwa sana
- Ninawezaje kufungua akaunti?
Pakua programu ya Uber bila malipo kutoka App Store au Google Play, kisha ufungue akaunti kwa kutumia anwani yako ya barua pepe na namba yako ya simu. Pia unahitaji kuweka njia ya kulipa kabla ya kuitisha usafiri.
- Je, Uber inapatikana katika mji wangu?
Unaweza kupata Uber katika zaidi ya miji 10,000 kote ulimwenguni.
- Je, nitafuata utaratibu upi kuitisha usafiri?
Ukiwa tayari kuondoka, fungua App kisha uweke mahali unakoenda. Kisha chagua aina ya usafiri unaokidhi mahitaji yako. Thibitisha eneo lako la kuchukuliwa kwa kubonyeza Thibitisha Kuchukuliwa .
- Je, ninaweza kutumia mfumo wa Uber bila simu mahiri?
Ndiyo, katika masoko mengine, unaweza kuitisha usafiri kwa kuingia katika akaunti yako kwenye m.uber.com.
Fanya mambo zaidi ndani ya App
Baadhi ya masharti na vipengele hutofautiana kulingana na nchi, eneo na jiji.
Kampuni