Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Chaguo za safari kwenye ukurasa huu ni mfano wa bidhaa za Uber na huenda baadhi ya bidhaa zisipatikane mahali ambapo unatumia App ya Uber. Ukiangalia ukurasa wa wavuti wa jiji uliko au uangalie kwenye App, utaona usafiri unaoweza kuitisha.

X small

Uber Select

Safari za starehe na madereva walio na ukadiriaji wa juu. Wakati ungependa usafiri kwa mtu mmoja hadi watu 4 ulio na huduma ya kifahari zaidi, Uber Select ndio chaguo bora.

search
Weka mahali
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Jinsi ya kusafiri ukitumia Select

1. Ombi

Fungua programu kisha uweke mahali unakoenda kwenye kisanduku cha "Unaenda wapi?" Ukishathibitisha ya kwamba eneo lako la kuchukuliwa na mahali unakoenda ni sahihi, chagua Select kwenye sehemu ya chini ya skrini yako. Kisha gusa Thibitisha Select.

Baada ya kukutanishwa na dereva, utaona picha yake na maelezo ya gari na unaweza kumfuatilia kwenye ramani anapokuja kukuchukua.

2. Safari

Hakikisha kwamba maelezo ya gari yanafanana na maelezo unayoona kwenye App kabla ya kuabiri Select yako.

Dereva wako anajua unakoenda na ana maelekezo yatakayokufikisha kwa haraka, lakini unaweza kumwomba atumie barabara unayopenda.

3. Shuka

Malipo yatatozwa kiotomatiki kwa kutumia njia ya malipo uliyoweka kwenye akaunti yako, kwa hivyo unaweza ukashuka kwenye Select bila wasiwasi pindi unapofika uendako.

Kumbuka kutoa ukadiriaji wa dereva wako ili Uber iendelee kuimarisha usalama kwa manufaa ya kila mtu.

Mfumo wa kukadiria nauli

search
Weka eneo la kuchukuliwa
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Je, uko tayari kuitisha usafiri ukitumia Select?

Maelezo zaidi kutoka Uber

Safiri kwa gari unalotaka.

1/9

Taarifa inayopatikana kwenye ukurasa huu wa tovuti ni kwa madhumuni ya kutoa taarifa pekee na huenda isitumike katika nchi, eneo au miji ulipo. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.