Sababu za kutumia Uber Moto kusafiri
Inapohitajika
Hakuna haja ya kusubiri basi na metro yako, pata safari ya Uber Moto baada ya dakika chache kwa kubofya kitufe
Fika mahali unakoenda haraka
Epuka msongamano wa magari na upitie barabara nyembamba kwa urahisi ukitumia Uber Moto na uokoe muda
Safiri kwa starehe
Epuka mabasi yaliyojaa watu na safari za magari zinazobana, safiri kwa starehe ukitumia Uber Moto
Ni ya bei nafuu
Safari ya bei nafuu
Jinsi ya kusafiri ukitumia Uber Moto
1. Ombi
Fungua programu kisha uweke mahali unakoenda katika kisanduku cha “Unaenda wapi?”. Baada ya kuthibitisha kwamba eneo la kuchukuliwa na mahali unakoenda ni sahihi, chagua Uber Moto.
Baada ya kukutanishwa na dereva, utaona picha yake na maelezo ya gari na unaweza kufuatilia kuwasili kwake kwenye ramani.
2. Safari
Hakikisha kwamba maelezo ya gari yanafanana na maelezo unayoona kwenye App kabla uingie kwenye gari.
Dereva wako anajua unakoenda na ana maelekezo yatakayokufikisha kwa haraka, lakini unaweza kumwomba atumie barabara unayopenda.
3. Shuka
Utatozwa kiotomatiki kwa kutumia njia ya malipo uliyoweka kwenye akaunti, kwa hivyo unaweza kushuka kwenye gari pindi unapofika uendako.
Kumbuka kumtathmini dereva wako ili Uber iendelee kuimarisha usalama kwa manufaa ya kila mtu.
Safari kote ulimwenguni
Kuna njia zaidi ya moja ya kusafiri ukitumia Uber, haijalishi mahali ulipo au unakokwenda baadaye. Angalia programu ili uone ni machaguo yapi ya safari yanayopatikana karibu nawe.*
Uber Electric
Safari zisizo na uzalishaji wa hewa chafu kwa kutumia magari ya umeme
UberX Share
Safiri pamoja na hadi msafiri mmoja kwa wakati mmoja
Uber Transit
Maelezo ya usafiri wa umma kwa wakati halisi kwenye programu ya Uber
Baiskeli
Baiskeli za umeme pale unapozihitaji ambazo hukuruhusu kwenda mbali zaidi
Uber Comfort
Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha ya kuweka miguu
Uber Black SUV
Safari za starehe kwa watu 6 katika magari ya kifahari ya SUV
Nyenzo iliyo kwenye ukurasa huu wa tovuti ni kwa madhumuni ya taarifa pekee na huenda isitumike katika nchi, kanda au jiji lako. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.
Kuhusu
Kuhusu