Usalama kupitia App ya Uber
Kufanya jambo linalofaa kunamaanisha kubuni teknolojia ukizingatia usalama wako. Vifuatavyo ni vipengele vya kudumisha ahadi yetu ya kuwasaidia watu kuungana kwa njia salama.
Katika video hii, utapata maelezo kuhusu:
- Jinsi safari hurekodiwa iwapo jambo lolote litatokea
- Jinsi ya kuwaonesha ndugu na marafiki mahali ulipo na hali ya safari yako
Spotlight on safety
Tunalenga kufanya Uber iwe njia salama na ya kufurahia kujipatia pesa. Kipengele cha Fuatilia Safari Yangu huwasaidia ndugu na marafiki kujua mahali ulipo na unapowasili.
Utafuata utaratibu huu:
1. Tap the safety shield on the map to open the Safety Toolkit.
2. Select Follow My Ride.
3. Kisha, App itatuma ujumbe kwa wapokeaji.
Vipengele vya usalama kwenye app
The app helps you stay connected to your loved ones, Uber’s team, and emergency authorities while you drive.
Ufuatiliaji wa GPS
Safari zote za Uber hufuatiliwa kuanzia mwanzo hadi mwisho, kwa hiyo tuna rekodi ya safari yako iwapo lolote litatokea.
Tathmini kutoka pande mbili
Maoni yako ni muhimu sana. Safari zilizo na tathmini ya chini huwekwa kwenye akaunti na tunaweza kuzuia watumiaji kuingia kwenye App ili kulinda jumuiya yetu ya Uber.
Fuatilia Safari Yangu
Ndugu na marafiki wanaweza kufuatilia barabara unayotumia na watajua mara tu unapowasili.
Kitufe cha usaidizi wa dharura
Unaweza kutumia Kitufe cha Dharura kwenye App kupigia polisi simu na kuomba usaidizi unapouhitaji. App hii inaonesha mahali ulipo na taarifa nyingine kuhusu safari, ili uweze kuwasiliana na kitengo cha dharura tatizo lolote likitokea. Na katika miji mingi ya Marekani, maelezo haya yanatumwa kiotomatiki kwa mhudumu wa kituo cha usaidizi wa dharura.
Vidokezo vya usalama wa kibinafsi
Ingawa tunaupa kipaumbele usalama kwenye teknolojia ya Uber, unaweza pia kuchukua hatua za kujilinda unapoendesha gari kwa kutumia App ya Uber. Mwongozo wa Jumuiya ya Uber unaelezea baadhi ya tabia mahususi ambazo zinaweza kumfanya mtu asipate idhini ya kutumia App za Uber.
Kutumia akaunti pamoja
Ili kuhimiza usalama na imani katika jumuiya yetu, Mwongozo wa Jumuiya ya Uber haukuruhusu kutumia akaunti yako na mtu mwingine au maelezo ya kibinafsi yanayotumika kwenye akaunti yako, kama vile jina la mtumiaji na nenosiri.
Kila mtu kwenye mfumo wa Uber anatakiwa kuwaheshimu wengine, kusaidia kuimarisha usalama na kufuata sheria. Unaweza kuripoti tukio lolote ambalo unaamini linakiuka Mwongozo wa Jumuiya ya Uber kwa timu yetu ya Huduma kwa Wateja na tutalichunguza.
Dropoffs
Kujua sheria za mahali ulipo kuhusu ambako unaweza kushukisha wasafiri kunaweza kukusaidia unapofika kwenye maeneo ya kupakia, magari yaliyoegeshwa na mengineyo.
Endesha gari kupitia App
Endesha gari kupitia App
Taarifa inayopatikana kwenye ukurasa huu wa tovuti ni kwa madhumuni ya kutoa taarifa pekee na huenda isitumike katika nchi, eneo au miji ulipo. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.
Kuhusu