Safiri ukitumia Uber
Pata safari kwa ajili ya kila barabara yenye ufikiaji katika zaidi ya miji 15,000 ulimwenguni kote.
Kwa sababu jasura bora huja kwako.
Mapendekezo
Safari kote ulimwenguni
Kuna njia zaidi ya moja ya kusafiri ukitumia Uber, haijalishi mahali ulipo au unakokwenda baadaye. Angalia programu ili uone ni machaguo yapi ya safari yanayopatikana karibu nawe.*
Uber Green
Safari endelevu katika magari ya umeme na magari ya mseto
UberX Share
Safiri pamoja na hadi msafiri mmoja kwa wakati mmoja
Uber Transit
Maelezo ya usafiri wa umma kwa wakati halisi kwenye programu ya Uber
Baiskeli
Baiskeli za umeme pale unapozihitaji ambazo hukuruhusu kwenda mbali zaidi
Uber Comfort
Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha ya kuweka miguu
Uber Black SUV
Safari za starehe kwa watu 6 katika magari ya kifahari ya SUV
Talii ulimwengu ukitumia Uber
Safiri katika maeneo mengi ya miji kote ulimwenguni, ukiwa na ufikiaji wa safari karibu kila mahali.
Ulimwengu uko tayari kwa ajili ya kuwasili kwako. Anza safari zako kwa safari ya kuelekea kwenye uwanja wa ndege. Katika maeneo mengi, utakuwa pia na chaguo la kuratibu kuchukuliwa na kushushwa kwenye uwanja wa ndege mapema.
Tunza mazingira
Elekea kwenye mustakabali unaotunza mazingira ukitumia machaguo ya safari zisizochafua mazingira. Ni njia inayofaa ya kuwa msafiri mwenye ufahamu zaidi.
Utaratibu Wetu wa Usalama Unapotoka Sehemu Moja hadi Nyingine
Tumeanzisha sera na vipengele vipya vya kusaidia kudumisha usalama wa kila mtu, ikiwemo sera inayomlazimu kila mtu avae barakoa na kuwapa madereva dawa za kuua viini bila malipo.
Nenda mbali zaidi, pata mengi zaidi ukitumia Uber One
Tazama na ufanye yote kupitia uanachama mmoja unaokuwezesha kuokoa pesa kwenye safari na vyakula vyako vyote.
*Machaguo, matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na jiji.
Kuhusu
Chunguza
Viwanja vya Ndege