Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Fanya mengi zaidi ndani ya programu

Uber inapatikana sikuzote. Kwa hivyo wakati wowote unapokuwa tayari kusafiri, kuendesha gari au kusafirishiwa chakula au bidhaa nyingine, unachotakiwa kufanya ni kufungua programu ya Uber. Hebu tupakue na tuanze.

Omba au weka nafasi ya safari

Jiunge na mamilioni ya wasafiri kote duniani wanaoamini programu ya Uber kwa mahitaji yao ya kila siku. Iwe unatekeleza shughuli zako mjini au unazuru mji mwingine, kufika huko kunapaswa kuwa rahisi.

Anza kujipatia mapato ukitumia Uber

Jipatie pesa ukitumia programu ya Dereva ya Uber. Wewe ndiye utakayeamua jinsi na wakati ungependa kujipatia mapato. Hakuna programu nyingine inayotoa fursa kama hizo.

Letewa (karibu) kila kitu

Ukiwa na Uber Eats, unaweza kusafirishiwa chakula hadi mlangoni pako kutoka kwa maelfu ya wauzaji wa mahali ulipo na wa kitaifa. Pata chakula unachotamani sana au bidhaa unazohitaji, kisha ufuatilie oda yako kwa wakati halisi. Weka oda haraka ukitumia programu ya Uber Eats.