Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Onyesha upendeleo kwenye maombi zaidi ya safari

Vipi kama ungekuwa na maombi mengi zaidi ya kuchagua? Trip Radar ni kipengele kipya kinachokupa wewe na madereva wengine nafasi ya kuona na kuchagua maombi ya safari yanayotokea karibu yako.

How it works

1. Find requests

When you’re not on a trip, you may see an alert for Trip Radar. Tap on it to check out a selection of UberX requests happening nearby.

2. Show interest in trip requests

You can tap on any requests you’re interested in and select as many as you want.

Remember to use Trip Radar safely. If you ever feel distracted when interacting with Uber’s Driver app, consider pulling over to a safe place to interact with your phone.

3. Get a match

Other drivers will have access to the list too, so you won’t get all your picks. Matching is aimed at minimising average wait times for drivers and riders. The more you tap, the more likely you are to be matched with an option that works for you.

Jinsi ya kutumia Trip Radar

Nenda unapotaka

Kama kuna mahali unatakiwa uwepo, Trip Radar inaweza kukusaidia kupata maombi ya safari yanayoenda sehemu maalum.

Nenda haraka

Kama hutaki kusubiria ombi la safari

Maswali ya mara kwa mara

  • Trip Radar inakupa wewe na madereva wengine nafasi ya kuchagua kati ya maombi ya safari yanayoendelea karibu. Inaonyesha chaguzi zaidi—utaendelea kupata maombi ya moja kwa moja pia. Mfano, unaweza kutumia Trip Radar kwa ajili ya: Kwenda unapotaka kama unahitaji kuwa sehemu fulani, Trip Radar inaweza kukusaidia kupata maombi ya safari yanayoelekea sehemu fulani. Nenda unapotaka kwa haraka kama hutaki kusubiri ombi la safari linalofata, fungua Trip Radar na fanya chaguo lako.

  • Maombi ya safari kwenye Trip Radar ni ya ziada—utaendelea kupata maombi ya moja kwa moja pia.

    Kumbuka kutumia Trip Radar kwa usalama, kama utaona unakosa umakini ukiwa unatumia app ya Uber, zingatia kusimama sehemu salama ili kutumia simu yako.

  • Kupatanishwa na abiria kuna lengo la kupunguza wastani wa kusubiri kwa dereva na abiria.Kwa Trip Radar hususani, kubofya haraka kunasaidia lakini sio kitu pekee kinachoamua kupanishwa.Kwa Hiyo unaweza kuchukua muda.

  • Hapana. Ukiwa unachagua maombi ya safari kwenye Trip Radar, unaweza kubonyeza mara nyingi upendavyo. Kama kwenye maombi ya safari ya kawaida, baada ya kupatanishwa na abiria, unaweza kuchagua kughairi kama upendavyo.