Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Uber Comfort

Pesa zaidi kidogo, kwa ajili ya starehe yako.

search
search
search
search

Huduma iliyoboreshwa

Uber Comfort inakupa magari mapya yenye nafasi kubwa na madereva wenye ustadi na tathmini ya juu.

Mapendeleo ya huduma

Mjulishe dereva wako mapema ikiwa ungependelea kupiga gumzo au la, na uchague kutoka hali 4 za joto, moja kwa moja kwenye App.

Chukuliwa wakati ambao mwenyewe ungependa

Kutana na dereva wako bila wasiwasi, kwa hadi dakika 10 kabla ya kutozwa ada ya kughairi.

Jinsi ya kusafiri ukitumia Uber Comfort

Ita gari

Fungua App kisha uweke mahali unakoenda katika kisanduku cha “Unaenda wapi?”. Ukishathibitisha kuwa eneo la kuchukuliwa na mahali unakoenda ni sahihi, chagua Comfort katika sehemu ya chini ya skrini yako. Kisha gusa Thibitisha Comfort.

Baada ya kukutanishwa na dereva, utaona picha yake na maelezo ya gari na unaweza kumfuatilia kwenye ramani anapokuja kukuchukua.

Safari

Hakikisha kwamba maelezo ya gari yanafanana na maelezo unayoona kwenye App kabla ya kuingia kwenye gari.

Dereva wako anajua unakoenda na ana maelekezo yatakayokufikisha, lakini unaweza kumwomba atumie barabara unayopenda.

Shuka kwenye gari

Utatozwa kiotomatiki kwa kutumia njia ya malipo uliyoweka kwenye akaunti, kwa hivyo unaweza kushuka pindi unapofika uendako.

Kumbuka kumtathmini dereva wako ili Uber iendelee kuimarisha usalama kwa manufaa ya kila mtu.

Safari kote ulimwenguni

Kuna njia zaidi ya moja ya kusafiri ukitumia Uber, haijalishi mahali ulipo au unakokwenda baadaye. Angalia programu ili uone ni machaguo yapi ya safari yanayopatikana karibu nawe.*

1/9
1/5
1/3

Maswali Yanayoulizwa Sana

  • Mbali na nafasi kubwa katika kila safari, baada ya kuitisha usafiri utaweza kumjulisha dereva kuhusu mapendeleo yako ya safari, ikiwa ni pamoja na hali ya joto na mazungumzo.

  • Uber Comfort kwa sasa inapatikana katika zaidi ya miji 40 na inaendelea kupanuka. Angalia kwenye programu ni chaguzi gani za usafiri zinapatikana katika jiji lako.

Ungependa kusafiri ukitumia Uber Comfort?

¹ Unapoomba safari ya Uber Reserve, bei ya safari unayoona itakuwa makadirio yanayojumuisha ada ya kuhifadhi, ambayo inaweza kutofautiana kulingana na eneo la anwani ya kuchukuliwa na/au siku na saa ya safari yako. Ada hii inalipwa na wasafiri kwa ajili ya muda wa ziada wa kusubiri wa dereva wao na muda/umbali unaotumika kusafiri hadi eneo la kuchukuliwa.

² Vifaa vilivyotolewa kwenye ukurasa huu wa wavuti vinakusudiwa kwa madhumuni ya taarifa pekee na huenda visitumike katika nchi, eneo, au jiji lako. Inaweza kubadilika na kusasishwa bila taarifa.