Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Pongezi kwako

Compliments let you know when you made your riders’ day. A rider can thank you for making their trip extra special, from knowing your way around town to playing great music.

Angalia pongezi zako

Fungua Programu ya Dereva

Nenda kwenye Ukadiriaji

Bofya Pongezi za Wasafiri

Kagua pongezi

Dereva Anayepewa Nyota Zote

Each thank you enters you to win once-in-a-lifetime fan experiences, available in select cities.

Nadhifu na Safi

Wafasiri hupendelea gari safi. Ukihakikisha kwamba gari lako ni nadhifu, msafiri anaweza kukushukuru.

Huduma Bora

Huduma bora hutolewa katika mifumo tofauti. Ukiendelea kufanya kazi nzuri, wasafiri wanaweza kutambua juhudi zako.

Anajituma Sana

Unaweza kupongezwa ikiwa msafiri atahisi kwamba umejituma zaidi.

Muziki Mtamu

Kucheza muziki ndani ya gari huwafurahisha baadhi ya wasafari. Ikiwa msafiri amependa muziki, unaweza kuongeza sauti ya muziki huo!

Gari Zuri

Gari lolote linaweza kuvutia. Lisafishe, lirembeshe au litunze vizuri ili wasafiri walifurahie.

Dereva Mwenye Bashasha

Je, msafiri wako anataka kupiga gumzo? Jisikie huru kumchekesha.

Gwiji wa Ramani

Ikiwa unajua njia vizuri na uwasaidie wasafiri kujua sehemu nyingi, wanaweza kukupongeza.

Maongezi Mazuri

Baadhi ya wasafiri hufurahia maongezi mazuri. Jisikie huru kumwuliza msafiri kama angependa kuzungumza.

Huduma Bora

Kama unataka kuwavutia wasafiri, unaweza kuweka maji ya chupa au vitafunwa. Unaweza kumfurahisha msafiri.