Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Chati nasi kwenye WhatsApp

Sasa madereva wanaweza kupokea usaidizi wa kujisajili kupitia akaunti ya Uber ya WhatsApp iliyothibitishwa katika baadhi ya nchi. Ili uanze kuchati, jisajili kwa kuweka namba yako ya WhatsApp hapa chini.

🇹🇿
open
+255

Jisajili kwenye WhatsApp

Kwa sasa, Uber inajaribu kushirikiana na WhatsApp katika baadhi ya nchi ili kutuma mawasiliano kama vile, taarifa za akaunti na huduma kwa wateja kupitia WhatsApp.

Ili ujisajili kupokea ujumbe kupitia njia hii, weka namba yako ya simu hapa juu. Tafadhali kumbuka kwamba namba yako ya WhatsApp sharti ifanane na namba unayotumia kwenye akaunti yako ya Uber ndipo upokee ujumbe.