Wasiliana na Uber nchini Tanzania
Una maswali kuhusu kutumia mfumo wa Uber kuendesha gari? Tuko hapa kujibu maswali yako.
Pata maelezo zaidi
Pata maelezo kuhusu jinsi ya kupokea maombi ya usafiri kupitia App ya Uber, sehemu ya kuona mapato yako na mengine mengi.
Usaidizi wa ana kwa ana
Katika baadhi ya miji, unaweza kupata usaidizi wa ana kwa ana katika ofisi za Greenlight Hub.
Ili kuangalia upatikanaji, nenda kwenye Usaidizi kwenye App yako ya Uber Driver, kisha Weka miadi ya kukutana ana kwa ana , chagua tatizo unalohitaji usaidizi, kisha ubonyeze Panga miadi ikiwa ungependa usaidizi zaidi. Au unaweza kutembelea tovuti yetu.
Fikia nambari yetu ya usalama
Ikiwa utahofia usalama wako au kuwa katika hali ngumu inayohitaji msaada wa usalama wa dharura, tuna kampuni ya usalama inayopatikana saa 24.
Unaweza kuwasiliana na Kitengo cha Usalama kupitia +255 784 700 299 au +255 754 303 076
Kuhusu
Kuhusu