Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Kuboresha miji

Tunajitahidi ili kufanya miji iwe safi na rahisi kusafiri, kwa manufaa ya kila mtu. Ili kutimiza lengo hili, tunawahimiza watu wasafiri pamoja na wengine ili kupunguza idadi ya magari barabarani. Pia, tunawashauri watumie usafiri wa umma.

Tunashirikiana na mifumo ya usafiri

Kusaidia kusuluhisha matatizo ya usafiri

Uber inatumia data ili kuongeza idadi ya watu wanaopata huduma ya usafiri wa umma na kuwasaidia wasanifu wa miji walete maendeleo mijini.

Hatua ya kusafiri pamoja na wengine inaweza kusuluhisha baadhi ya matatizo katika mfumo wetu wa usafiri

Wasafiri wanaweza kutumia Uber kuitisha usafiri kati ya saa 4 usiku na saa 10 asubuhi, wakati huduma za usafiri wa umma ni chache au hazipatikani.

Kuunganisha aina za usafiri kwenye programu yetu

Tunarahisisha' safari za kila siku kwa kujiunga na programu za usafiri kote ulimwenguni ili kukupa aina zaidi za usafiri wa kwenda nyumbani, ofisini na mahali popote.

Uendelevu

Foleni fupi, miji bora

Hebu fikiria hali ambapo kuna magari machache na nafasi nyingi itakayotumika kutengeneza shule, bustani na mbuga. Tuna fursa kubwa ya kufanya miji yetu iwe mahali pema pa kuishi, ivutie na iwaridhishe watu wote.

Uber inajivunia kushiriki katika kuadhimisha Siku ya Maegesho

Mamia ya miji kote ulimwenguni inaungana pamoja ili kuadhimisha Siku ya Maegesho. Hii inalenga kuwahimiza wenyeji wabadilishe maeneo yao ya maegesho kwa muda mufupi ili yatumike kwa manufaa ya umma, kama vile kumbi, sehemu za michezo, maonyesho na zaidi. Angalia nafasi ambazo Uber imesaidia kubadilisha.

Nafasi zilizobuniwa

Data bora inachangia katika usanifu bora

Uber hutoa data kutoka kwa zaidi ya safari bilioni 2 kwa wasanifu wa miji kote ulimwenguni. Data hiyo muhimu huwapa zana zaidi ili kuboresha mustakabali wa miji.

The average car remains parked 95% of the time. Pivoting from private car ownership to multimodal transportation could reduce parking lots and free up much needed space.

Fortune, Machi 2016

Uber inaweza kutoa data ya usafiri

Tunashirikiana na miji ili kukabili matukio ya dharura ya foleni, kutazamia mahitaji ya usafiri na kuboresha sera ili madereva na wasafiri wafurahie huduma.

Kutana na Uber Movement

Data bora inachangia katika usanifu bora

Uber hutoa data kutoka kwa zaidi ya safari bilioni 2 kwa wasanifu wa miji kote ulimwenguni. Data hiyo muhimu huwapa zana zaidi ili kuboresha mustakabali wa miji.

Uber inaweza kutoa data ya usafiri

Tunashirikiana na miji ili kukabili matukio ya dharura ya foleni, kutazamia mahitaji ya usafiri na kuboresha sera ili madereva na wasafiri wafurahie huduma.