Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Ripoti ya 2021 ya Watu na Utamaduni

Mwaka wa kuchukua hatua

Tangu siku za mwanzo za Uber, mwingiliano rahisi wa "bofya kitufe na uweze kusafiri" umebadilisha maisha ya watu. Na sasa umekuwa jambo la kina zaidi. Hapa Uber, tunajitahidi kufikiria upya jinsi ulimwengu unavyoendelea kuwa bora. Tunaamini kwamba kila mtu anapaswa kuwezeshwa kusafiri kwa uhuru zaidi na kwa usalama—kimwili, kiuchumi na kijamii. Ili kufanya hivyo, lazima tupambane na ubaguzi wa rangi na kuwa bingwa wa usawa kamili, ndani na nje ya kampuni yetu na kwenye tovuti yetu. Lazima tutumie ufikiaji wetu wa kimataifa, teknolojia yetu, data zetu na muhimu zaidi, sauti yetu—ili kusaidia kuunda kampuni salama, jumuishi zaidi na kuwa mshirika mkubwa kwa jumuiya zote tunazohudumia.

Mwaka 2020 ulikuwa na changamoto nyingi sana, kwani Uber na jamii zilipambana sana na athari za kiafya na kiuchumi za janga la ugonjwa na ukadiriaji wa kimataifa kuhusu mbari. Athari mbaya hazikuhisiwa kwa usawa, kwani COVID ilileta utambuzi mkali wa ukosefu wa haki ambao umeendelea kuwepo katika jamii kwa muda mrefu sana. Kupitia yote hayo, Uber imejitahidi kusaidia wafanyakazi wetu, majiji yetu na wasafiri, madereva, watu wanaosafirisha bidhaa, mikahawa na wafanyabiashara wanaotumia tovuti yetu kuungana na kazi na biashara.

Ahadi ya uongozi ya kuleta uanuwai

Kubuni usawa wa juu ni mojawapo ya vipaumbele 6 vya kampuni vilivyowekwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Dara Khosrowshahi, kwa mwaka wa 2021. Hii inamaanisha kuzidisha uanuwai wa kidemografia katika Uber na kuwa kampuni ambayo haina ubaguzi wa rangi na kuwa rafiki kwa jumuiya tunazohudumia. Kila mwanachama wa Timu ya Uongozi anafanya kazi yake ili kufanikisha jambo hili, hasa kuhakikisha kwamba shirika lote linachangia. Kuzidisha uanuwai, usawa na ujumuishaji ni lengo kuu katika mikakati ya kampuni na jitihada yake huanzia juu.

Dara Khosrowshahi, Afisa Mkuu Mtendaji

“Kama kampuni inayowezesha kusafiri, lengo letu ni kuhakikisha kwamba kila mtu anaweza kusafiri kwa urahisi na kwa njia salama, iwe kimwili, kiuchumi au kijamii. Ili kufanya hivyo, lazima tusaidie kupambana na ubaguzi wa rangi ambao unaendelea katika jamii na kuwa bingwa wa usawa, ndani na nje ya kampuni yetu.

"Jambo moja ni wazi kwetu: hatuwezi tu kutumaini kwamba bidhaa zetu pekee zitaboresha usawa na haki. Lazima tutumie upana wetu wa kimataifa, teknolojia yetu na data zetu kusaidia kufanya mabadiliko, haraka—ili tuwe kampuni ya kupambana zaidi na ubaguzi wa rangi; kampuni na tovuti salama na jumuishi zaidi na mshirika mwaminifu kwa jumuiya zote tunazohudumia.”

Makundi ya nyenzo ya wafanyakazi wa Uber yanatoa ufahamu kuhusu utambulisho na kundi la kijamii, pamoja na fursa za ukuzaji wa uongozi kwa ajili ya wanachama.

Able at Uber

Jumuiya ya Uber ya walezi na wafanyakazi wenye ulemavu

Asian at Uber

Jumuiya ya Uber ya Asia

Black at Uber

Jumuiya ya Uber kwa ajili ya wafanyakazi na washirika Weusi

Equal at Uber

Jumuiya ya Uber kwa ajili ya ujumuishaji wa kijamii na kiuchumi

Immigrants at Uber

Jumuiya ya Uber kwa ajili ya wahamiaji

Interfaith at Uber

Jumuiya ya Uber kwa ajili ya watu wa imani na tamaduni anuwai za kiroho

Los Ubers

Jumuiya ya Uber kwa ajili ya wafanyakazi na washirika wa Kihispania na Amerika Kusini

Parents at Uber

Jumuiya ya Uber kwa ajili ya wazazi na walezi

Pride at Uber

Jumuiya ya Uber kwa ajili ya ujumuishaji na uanuwai wa LGBTQ+

Sages at Uber

Jumuiya ya Uber kwa ajili ya wafanyakazi wa vizazi vyote

Veterans at Uber

Jumuiya ya Uber kwa ajili ya wanajeshi waliostaafu

Women at Uber

Jumuiya ya Uber kwa ajili ya wanawake

Idadi ya wafanyakazi wetu

Ufuatao ni uchambuzi wa kina wa uwakilishi wa wafanyakazi wetu katika miaka 3 iliyopita.

Chati | Uwakilishi wa jinsia ya kimataifa na mbari/ukabila wa Marekani

Uanuwai wa wafanyakazi (kimataifa) ¹

%Wanaume%Wanawake

Uanuwai wa wafanyakazi (Marekani)²

%Wazungu
%Waasia
%Weusi au Wamarekani Waafrika
%Wahispania au Walatino
%Chotara
%Wahawaii au Jamii zingine za Visiwa vya Pasifiki
%Wamarekani Wahindi au Wenyeji wa Alaska
%URM

Uanuwai wa wafanyakazi (kikanda)

%Wanaume%Wanawake

Chati | Uwakilishi wa uongozi wetu⁴

Uanuwai wa wafanyakazi (kimataifa) ¹

%Wanaume%Wanawake

Uanuwai wa wafanyakazi (Marekani)²

%Wazungu
%Waasia
%Weusi au Wamarekani Waafrika
%Wahispania au Walatino
%Chotara
%Wahawaii au Jamii zingine za Visiwa vya Pasifiki
%Wamarekani Wahindi au Wenyeji wa Alaska
%URM

Tazama chati za jinsia kulingana na uwakilishi wa mbari huko Marekani kwenye kurasa za 22 hadi 25 za Ripoti ya Watu na Utamaduni.

Tazama ripoti kamili ya mwaka 2021

Chati | Uwakilishi wa waajiriwa wetu wapya⁵

Uwakilishi wa waajiriwa wapya

%Wanaume%Wanawake

Asilimia kulingana na uwakilishi wa mbari wa waajiriwa wapya

%White
%Asian
%Black or African American
%Hispanic or Latinx
%Multiracial
%Native Hawaiian or Other Pacific Islander
%American Indian or Alaska Native

Tazama chati za jinsia kulingana na uwakilishi wa mbari wa waajiriwa wetu wapya wa Marekani kwenye ukurasa wa 27 wa Ripoti ya Watu na Utamaduni.

Tazama ripoti kamili ya mwaka 2021

¹Data za uwakilishi wa wafanyakazi mnamo Machi 2019, Agosti 2020 na Machi 2021. Tafadhali angalia toleo la PDF la Ripoti ya Watu na Utamaduni ya mwaka 2021 kwa ufafanuzi wa kina.

²Asilimia ya uwakilishi haijumuishi wafanyakazi ambao hawakujiripoti mbari/kabila lao. Idadi kamili ya takwimu hizi ni "jumla ya wanaume na wanawake katika shirika lililochaguliwa."

³Hesabu inajumuisha wafanyakazi wetu wa usaidizi (wanaojulikana kama wafanyakazi wa huduma kwa wateja katika suala la tasnia), ambao ni Wataalamu wa Jumuiya katika Vituo vyetu vya Ubora na Greenlight Hub.

⁴Hesabu inajumuisha viongozi wakuu na waandamizi wa Kiwango cha 7 na zaidi.

⁵Data za uwakilishi wa waajiriwa wapya za mwaka 2020 ni za mnamo Agosti 2020 na data za uwakilishi wa waajiriwa wapya za mwaka 2021 ni kuanzia Aprili 2020 hadi Machi 2021.

Ripoti za Uanuwai na Ujumuishaji

1/3