Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Safiri kwa urahisi kwa kutumia Uber

Usafiri wa haraka, wenye kuaminika na wa kawaida — safiri popote wakati wowote.

Uamuzi ni wako. Ungependa kwenda wapi?

Itisha usafiri sasa na uishi unavyotaka. Rahisisha safari yako.

Usione umechelewa → Utawahi

Kuwahi asubuhi.

Una mambo mengi ya kufanya ilhali huna wakati wa kutosha? Safiri ukitumia Uber ili uokoe muda na uwasili ukiwa na utulivu.

Macheo → Machweo

Unapotoka na marafiki

Fika popote unapotaka kwenda usiku — na urudi nyumbani. Uber inakupa starehe unayohitaji.

Kupotea → Itakuelekeza

Unatafuta eneo la kuzuru

Ungependa kuzuru eneo jipya, au umepotea kidogo? Usijali, unaweza kutumia simu yako kuitisha gari.

Epuka hali mbaya ya hewa → Starehe

Kuepuka hali mbaya za hewa

Iwe kunanyesha ama kuna joto jingi sana, safiri kwa starehe kwa kutumia usafiri unaokuchukua kutoka sehemu moja hadi nyingine.

Umelemewa na mizigo → Tuama

Kununua vitu vingi

Wakati mwingine ukijikuta umenunua bidhaa nyingi sokoni, itisha usafiri wa Uber ili uchukuliwe pamoja na mizigo uliyonunua.

Umechoka → Pumzika

Jipe raha

Umekuwa na shughuli nyingi? Jitulize kupitia usafiri wa Uber na uwasili ukiwa umepumzika, mtulivu na tayari kufanya chochote.

Tathmini safari yako baada ya kuwasili

Maoni yako ni muhimu sana. Mfumo wa tathmini kati ya msafiri na dereva unadumisha huduma bora kwenye Uber na kuimarisha usalama kwa wasafiri na madereva.

Baadhi ya masharti na vipengele hutofautiana kulingana na nchi, eneo na jiji.