Pata pesa wakati wowote, mahali popote
Endesha gari unapotaka
- Pata pesa wakati wowote, mahali popote
Unaweza kuendesha gari na kutengeneza pesa nyingi utakavyo. Na, jinsi unavyoendesha gari zaidi ndivyo utakavyotengeneza pesa nyingi. Pia, nauli zako zitawekwa kwenye akaunti kila wiki.
- Weka ratiba yako mwenyewe
Down Small Endesha gari wakati unaotaka. Hakuna ofisi wala msimamizi. Fungua na ufunge kazi unapotaka kwa sababu katika Uber, ni wewe unajisimamia.
- Usalama barabarani
Down Small Uber imejitolea kuimarisha usalama wa watu barabarani. Teknolojia yetu inatusaidia kuzingatia usalama wa madereva kabla ya safari, wakati wa safari na baada ya kila safari.