Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi
Safirisha bidhaa unapotaka, jipatie kile unachohitaji

Endesha gari unapotaka

  • Unaweza kuendesha gari na kutengeneza pesa nyingi utakavyo. Na, jinsi unavyoendesha gari zaidi ndivyo utakavyotengeneza pesa nyingi. Pia, nauli zako zitawekwa kwenye akaunti kila wiki.

  • Endesha gari wakati unaotaka. Hakuna ofisi wala msimamizi. Fungua na ufunge kazi unapotaka kwa sababu katika Uber, ni wewe unajisimamia.

  • Uber imejitolea kuimarisha usalama wa watu barabarani. Teknolojia yetu inatusaidia kuzingatia usalama wa madereva kabla ya safari, wakati wa safari na baada ya kila safari.

    Chagua lugha ambayo unapendelea
    EnglishKiswahili