Okoa pesa kwenye safari yako kwa ofa ya Uber
Omba sasa na utumie ofa yoyote ambayo unaweza kuwa nayo.
Omba usafiri kwa safari ya sasa au ya baadaye
Weka maelezo ya safari yako, ingia na uende.
Mapendekezo
Uko tayari kuanza kujipatia mapato?
Kuendesha gari ukitumia Uber kunaweza kuwa njia nzuri ya kujipatia mapato kwa masharti yako. Ofa ni njia rahisi za kujipatia pesa zaidi. Katika programu ya Dereva, unaweza kuendelea kufahamishwa kuhusu ofa zinazopatikana kwako.*
Maswali yanayoulizwa sana
- Je, usafiri unaoombwa kupitia programu ya Uber hugharimu pesa ngapi?
Bei hutegemea mambo kadhaa, ikiwemo ada ya kawaida, makadirio ya muda na umbali wa safari yako, uhitaji wa safari wakati wa kuomba, tozo za barabarani, misimbo ya ofa au usajili na kadhalika. Aina ya gari unalochagua (kama vile UberX au Uber Black) na mji unakosafiri pia huathiri bei ya safari yako. Tumia kikadiriaji chetu cha bei kupata kadirio kwenye mji wako.
- Ninapaswa kumpa dereva wangu bakshishi ya kiasi gani?
Una uhuru wa kuamua iwapo na kiasi cha bakshishi cha kutoa. Unaweza kutoa bakshishi kwenye programu baada ya kukadiria safari yako au kutoa bakshishi ya pesa taslimu, ukipenda. Tafadhali kumbuka kwamba misimbo ya ofa na uokoaji wowote wa pesa wa Uber hautumiki kwenye bakshishi.
- Ninawezaje kuchangia nauli ya safari na rafiki yangu?
Baada ya kuanza safari yako ukitumia programu ya Uber, unaweza kutumia kipengele ili kuchangia gharama kwa usawa na marafiki ambao wanasafiri pamoja nawe. Kitufe kitaonekana kwenye programu utakapokutanishwa na dereva. Kipengele hiki kinaweza kutumika katikati ya safari na kulipwa ada ndogo kwa kila msafiri.
Fanya mengi zaidi ndani ya programu
Fanya mengi zaidi ndani ya programu
Fanya mengi zaidi ndani ya programu
*Haipatikani huko California. Uber itakujulisha utakapostahiki kupata ofa. Vizuizi vya ofa vinatumika. Vizuizi na masharti yoyote yatashirikiwa nawe katika ofa au nyenzo mahususi. Uber inaweza kubadilisha au kughairi ofa yoyote, ikiwemo lakini si tu masharti yanayohitajika ili kupata ofa hiyo.
Kuhusu