Uber Lite
Toleo hili rahisi zaidi la programu ya Uber hutumika kwenye simu yoyote inayotumia Android, huku likiokoa nafasi ya kuhifadhi na data. Zaidi ya hayo, ni rahisi kujifunza na kutumia na limebuniwa kutumika hata katika maeneo yaliyo na muunganisho usio thabiti.
Pata safari zilezile za kuaminika ukitumia programu mpya na rahisi
Ni nyepesi
Programu fupi inayookoa nafasi na kukuwezesha kusafiri.
Ni ya uhakika
Unaweza kupakua na kutumia programu hii bila Wi-Fi wala intaneti thabiti.
Inapunguza kiasi cha data unachotumia
Uber Lite huokoa kiasi cha data unachotumia.
Ni rahisi kujifunza na kutumia
Omba safari ya Uber kwa kugusa mara 4, bila kuandika au kuandika maneno machache sana na ulipe pesa taslimu.
Inapatikana katika nchi nyingi duniani
Kwa sasa Uber Lite inapatikana:
- Bahareni
- Ghana
- India
- Yordani
- Kenya
- Amerika ya Kusini (sehemu fulani)
- Lebanoni
- Nigeria
- Pakistani
- Katari
- Saudi Arabia
- Afrika Kusini
- Tanzania
- Uganda
- Muungano wa Falme za Kiarabu
Endelea kufuatilia ili upate taarifa.
Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana
- Ninawezaje kupata Uber Lite?
Toleo hili la programu ya Uber ambalo ni rahisi, hutumika katika mtandao na simu yoyote ya Android. Pakua programu kutoka Google Playkisha uanze kusafiri.
- Huduma za Uber Lite zinapatikana wapi?
Uber Lite inapatikana:
- Bahareni
- Ghana
- India
- Yordani
- Kenya
- Amerika ya Kusini (sehemu fulani)
- Lebanoni
- Nigeria
- Pakistani
- Katari
- Saudi Arabia
- Afrika Kusini
- Tanzania
- Uganda
- Muungano wa Falme za Kiarabu
Endelea kufuatilia ili upate taarifa.
*Uber Lite hutumika kwenye simu za Android zinazotumia toleo la 4.4 au matoleo mapya zaidi.
Uber Lite ni programu nyepesi, kwa hivyo haijumuishi vipengele vyote vinavyopatikana kwenye programu ya kawaida ya Uber.
Kuhusu