Ruka uende katika maudhui ya msingi

Usikose kufika

Maisha yanahusu kutambua mambo wakati huu. Ili kukusaidia kufika huko, tunaunda kila kitu tunachokitengeneza ili kukuokolea muda na kuirahisisha safari yako. Gundua njia zote tunazofuata kwa kuangalia maonyesho makubwa zaidi ya bidhaa zetu kubwa.

Mstari mmoja wa kijani wa wima wa Journey

Hiki hapa kilicho kipya 2026

Mstari mmoja wa kijani wa wima wa Journey

Tunakuletea Hoteli kwenye Uber

Zaidi ya hoteli 700,000 duniani kote sasa zinapatikana katika programu ya Uber. Pata punguzo la asilimia 10 kwenye hoteli kwa kuweka tu nafasi na Uber, pia wanachama wa Uber One wanarejeshewa asilimia 10 ya ziada kwa vocha za Uber One.

Mwonekano wa kiolesura uliorahishwa wa hoteli kwenye programu ya Uber, ukionyesha taarifa kuhusu Park Lane New York na uokoaji pesa kutokana na punguzo.

Okoa pesa unapokaa ulipo

Wanachama wanarejeshewa asilimia 10 ya vocha za Uber One kutokana na muda wao wa kukaa ambazo wanaweza kutumia kwenye Uber na Uber Eats.

Kadi tatu zinazoingiliana ambazo zinaonyesha picha za vistawishi vya hoteli, huku kukiwa na machaguo ya kuchuja chini ya kadi ya kwanza.

Pata chaguo bora

Gundua picha, vistawishi, ukadiriaji, kaguzi na maelezo ya chumba ili kupata mahali pazuri pa kukaa.

Machaguo matatu ya bidhaa: ilikoni ya 3D yenye lebo 'Safari,' bakuli la saladi lenye lebo 'Chakula,' na kitanda chenye lebo 'Hoteli' kikiwa na alama nyekundu ya 'Mpya'.

Kila hatua ya safari yako sasa iko katika programu moja

Weka nafasi ya chumba, safari zako za uwanja wa ndege na hoteli na uletewe chajio baada ya kuingia, vyote hivi kwenye programu ya Uber. Vocha yoyote ya Uber One unayopata inaweza kutumika kwa safari na oda.

Mstari mmoja wa kijani wa wima wa Journey

Fahamu usichokifahamu kwa kutumia kipengele cha Hali ya Safari

Pata mapendekezo ya safari yaliyoratibiwa kwenye Uber na Uber Eats unapowasili katika jiji jipya ili kukusaidia kuvinjari uwanja wa ndege au kugundua maeneo maarufu katika eneo hilo.

Mwonekano wa kiolesura uliorahisishwa wa maonyesho yanayosema, "Maarufu kwa wageni," wanaoonyesha ishara muhimu katika Jiji la New York, kama vile Natural History Museum. Mahali unakoenda kuna lebo inayosema, "Safari 6,000 hivi majuzi."

Usafiri uliokusudiwa wewe

Gundua maeneo ambayo ni sharti uyaone, mikahawa inayovuma, vidokezo vya kuzuru uwanja wa ndege na zaidi.

Mwonekano uliorahisishwa wa skrini ya kwanza ya programu ya Uber, ikionyesha ncha ya mlingoti ya eneo la Jiji la New York.

Imeundwa kwa ajili ya mahali unakoenda

Mwonekano na hali ya programu yako huzoea ulipo kwa miundo na maonyesho maalum kulingana na eneo lako.

Aina nyingi tofauti za vigae zinazoonyesha bidhaa muhimu za safari na vyakula, kama vile vibanzi, barafu, kebo ya kuchaji na zaidi. Kigae kingine kinaonyesha mikahawa inayopendekezwa ambayo ni ya karibu na inayopatikana kwa ajili ya usafirishaji bidhaa.

Usafirishaji bidhaa hadi chumbani mwako

Iwe unatamani vyakula vya kienyeji au bidhaa muhimu za safari zimeisha, unaweza kuletewa hadi kwenye hoteli yako.

Mstari mmoja wa kijani wa wima wa Journey

Safiri upate faida

Kwa kutumia Uber One International, wanachama wanaweza kupata vocha za Uber One kwenye safari, pamoja ya Ada ya Usafirishaji Bidhaa ya $0, wanaposafiri ng`ambo.

Mwonekano wa kiolesura uliorahisishwa wa sehemu ya ndani ya programu inayosema, "Safiri kwa Uber One. Uokoaji pesa na faida unazopata unaposafiri." Kitufe kilicho hapa chini kinasema, "Angalia maelezo."

Okoa pesa kwenye safari huko ng`ambo

Utaokoa pesa zaidi ukiwa mwanachama kwa kupata vocha za Uber One kwenye safari unaposafiri ng`ambo.

Mwonekano wa kiolesura uliorahisishwa ambao unasema, "Faida za Uber One zinapatikana popote unapoenda. Furahia faida za Uber One ukiwa ng`ambo. Vocha ulizopata zinaweza kutumika tu nchini Marekani."

Tumia vocha ukirudi nyumbani

Vocha zako zitatumika kwa safari au oda yako ya kwanza ukirudi nyumbani—ichukulie kama hedaya.

Mikono ikipitisha sahani ya chakula kwenye meza ya chajio yenye vinywaji, pamoja na aikoni tatu za faida za Uber One hapa chini: gari, mfuko wa ununuzi na nembo ya Uber One.

Okoa pesa kwa usafirishaji bidhaa kila mahali

Wanachama wa Uber One sasa wanaweza kufurahia Ada ya Usafirishaji Bidhaa ya $0 kwenye oda zinazotimiza masharti kimataifa, si nyumbani tu.

Mstari mmoja wa kijani wa wima wa Journey

Furahia safari ya kuchukuliwa eneo la kuchukulia

Kwa kutumia Eats for the Way, ruka vituo vya ziada vya kusimama na upate vinywaji na vitafunwa unavyopenda kwenye kiti cha nyuma. Unapoweka nafasi ya Uber Black au Uber Black SUV, dereva wako atazitayarisha wakati wa kuwasili. Utakuwa umeokoa muda.

Mwonekano wa kiolesura uliorahisishwa ambao unaonyesha picha ya mwanamke akiwa amekaa kwenye kiti cha nyuma cha gari akiwa ameshika kinywaji na mkoba wa Uber Eats kando yake. Maandishi yaliyo hapa chini yanaunga mkono oda za Uber Eats kusubiri ndani ya gari la Reserve na kitufe kilicho na lebo ya 'Weka Uber Eats.'

Jitayarishe kwa safari yako

Dereva wako atachukua oda yako njiani ili ikisubiri wakati utakapoingia.

Rundo la kadi za orodha ya mikahawa. Kadi ya juu ina sehemu maridadi zenye chakula bora, ukadiriaji wa nyota 4.8 kutoka kwenye zaidi ya kaguzi 2,210 na umbali wa maili 0.3 ikiwa na aikoni ya moyo kwa ajili ya kupenda.

Okoa muda zaidi

Sahau hatua ya kusubiri kwenye mstari. Elekea moja kwa moja unakotaka kuenda huku ukifurahia unavyopenda.

Kiolesura cha menu kinachoonyesha bidhaa mbili: kinywaji cha barafu na upande wa beri, kila moja kwa $7.20, kwa kurekebisha idadi na kufuta machaguo.

Zaidi ya kahawa tu

Pia unaweza kuchagua kununua vitafunwa kwenye maeneo ya karibu, ili uvifurahie unaposafiri.

Mstari mmoja wa kijani wa wima wa Journey

Pata unachokitafuta kutoka kwenye duka lolote

Tuambie bidhaa unayotafuta na wanunuzi wetu wenye tajriba watakuletea kutoka kwenye kiwanda mahususi cha jozi bora ya viatu.

Mwonekano wa kiolesura uliorahisishwa unaomwonyesha mwanamke akiwa ameshika mikoba ya ununuzi iliyojazwa mbogamboga na mwanasesere, karibu na maandishi yanayosema 'Nifanyie ununuzi. Mtume mnunuzi kwenye duka la karibu na upau wa utafutaji kwenye lebo 'Tafuta duka.'

Maduka kwenye eneo lako

Ikiwa ni kwenye duka la karibu, iwe ni duka la nguo maalum au duka la zawadi, unaweza kueleza bidhaa na uwe na chaguo la kuweka picha.

Ombi la maandishi la mmea bora wa nyumbani chini ya $30 na chungu cheupe cha kauri cha inchi 8, chenye aikoni ndogo ya mmea wa nyumbani ndani ya chungu upande wa kushoto.

Mwachie mtaalamu aishughulikie

Haijalishi bidhaa unayoitafuta katika eneo lako, mnunuzi mwenye tajriba anaweza kukuokolea muda kwa kukutafutia.

Kiolesura cha kufuatilia oda kikionyesha 'Ununuzi unaendelea,' ukadiriaji wa muda wa kuwasili saa 10:45 - 11:00 asubuhi na bango la manjano likisema 'Inahitaji idhini.' Duka ni Rosecrans, kununua bidhaa moja, huku aikoni ikiashiria kwamba hatua inahitaji kuchukuliwa.

Inathibitishwa kabla ya kulipa

Mnunuzi wako atawasiliana nawe kuthibitisha bidhaa kabla hajanunua ili uhakikishe kwamba oda ni sahihi.

Mstari mmoja wa kijani wa wima wa Journey

Upau mmoja wa utafutaji, uwezekano usio na mwisho

Sasa ni rahisi kuliko awali kuenda popote na kupata chochote kwa hali mpya ya utafutaji rahisi. Pia unaweza kuweka nafasi ya safari bila kugusa kifaa kwa kuitumia sauti yako tu.

Upau wa utafutaji wenye maandishi 'Unaenda wapi?', aikoni ya kiookuzi upande wa kushoto na aikoni za maikrofoni na kalenda upande wa kulia.

Utafutaji bila tatizo

Tafuta maeneo, vyakula na bidhaa kwenye Uber na Uber Eats kwa upau mmoja wa utafutaji.

Upau wa utafutaji ulioandikwa 'Ice cream', ukionyesha matokeo ya Museum of Ice Cream, Ice Cream House, na Van Leeuwen Ice Cream, ikiwa ni pamoja na anwani, umbali na machaguo ya usafirishaji bidhaa.

Imeundwa kwa ajili ya ugunduzi

Unatafuta mlo au eneo mahususi? Unaweza kuupata bila kubadilisha programu, hata ikiwa huna uhakika wa mahali pa kuenda au kitu cha kula.

Mwonekano wa kiolesura uliorahisishwa kwa mandharinyuma ya rangi ya krayoni huonyesha maandishi ya "Niwekee nafasi ya safari kuelekea Museum of Ice Cream" juu ya aikoni ya amri ya sauti na fungu la maneno la "Inaendeshwa na AI."

Weka nafasi kwa kutumia sauti yako

Sema tu unapohitaji kwenda. AI yetu inaelewa mahali unakoenda, saa na bajeti ili kupata gari linalokufaa.

Maandishi meupe kwenye mandharinyuma meusi yanasoma "BE THERE" na mstari mrefu wa Journey unaounganisha maneno hayo mawili. Mstari unabadilika kuwa tundu la mstatili unaozunguka kwenye picha inayoonekana kwenye kila bidhaa.

Bidhaa na huduma zinategemea vigezo na vikomo, angalia programu kwa maelezo.