Ruka uende katika maudhui ya msingi

Endesha gari unapotaka, jipatie kile unachohitaji

Jipatie mapato kulingana na ratiba yako

Jipangie ratiba ya kufanya kazi

Baadhi ya fursa za udereva zinaweza kumaanisha kufanya kazi kwa saa nyingi na ratiba ngumu. Ukiwa dereva unayetumia Uber, wewe mwenyewe unaamua ni lini na mara ngapi utaendesha.

Pata pesa wakati wowote, mahali popote

Iwe unapenda kuendesha kwa saa chache tu mara kwa mara, au wewe ni mtumiaji wa mara kwa mara wa programu ya Uber Driver, ukiwa na Uber unaweza kupanga kuendesha kulingana na mambo yanayokujali zaidi.

Pata usaidizi popote ulipo

Ikiwa una maswali, unaweza kuwasiliana nasi wakati wowote mtandaoni au kwenye programu. Uliza kuhusu ukaguzi wa historia, promosheni za kila wiki, jinsi ya kulipwa, na mengine mengi.

Chagua lugha ambayo unapendelea

EnglishKiswahili

    Chagua lugha ambayo unapendelea

    EnglishKiswahili