Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Sote tunahitaji mtu wa kujitokeza

Watu wanaojitokeza kwa ajili ya kila mmoja wana uwezo wa kuubadilisha ulimwengu uwe bora.

Tunapojitokeza kwa ajili ya kila mmoja, sote tuko njiani

Tuko njiani

Kwa miaka mingi, tumekuwa ikoni ya gari inayosonga kwenye simu yako. Lakini "tuko njiani" inamaanisha zaidi ya safari au usafirishaji wa bidhaa. Ni ahadi yetu kuwepo kwa ajili yako ili uweze kujitokeza kwa nyakati zote za maisha, kubwa na ndogo.

Ninachelewa.
Matamanio ya saa 9 usiku.
Mbogamboga za kila wiki.
Nimesahau ndizi.
Siku ya kuzaliwa ya bibi.
Quinceañera.
Nimechoka sana kupika.
Nimeishiwa na nepi.
Siku ya mchezo.
Siku ya ufukwe.
Safari ya usiku kucha.
Mahafali.
Jumanne ya Taco.

Tuko njiani.

Mamilioni ya watu wanajitokeza kwa ajili ya mamilioni zaidi

Kujitokeza kunaweza kufanikisha siku au usiku wa mtu na, katika hali nzuri zaidi, kunaweza kuleta mabadiliko.

Tuko njiani kwa hivyo unaweza kusafiri pia