.
.
.
.
.
.
.
“Ikiwa nitaokoa mtu mmoja, ni watu wangapi ninaweza kuokoa?”
Oksana
.
.
.
.
.
.
.
“Watu huacha kila kitu. Maisha yao yote.”
Pasha
.
.
.
.
.
.
.
“Si filamu. Ni uhalisia wetu wa kila siku.”
Dima
Uber nchini Ukraine
Uber imejitolea kusaidia Ukraine wakati wa vita hivyo vikali.
Tangu Februari 2022, Uber imepanua shughuli zetu nchini Ukraine kutoka miji 9 hadi 18 ili kusaidia kuzipa jamii za wenyeji huduma muhimu za usafiri. Ili kusaidia mashirika maarufu ya misaada ya kimataifa, tumetoa zaidi ya safari 100,000 bila malipo kwa wakimbizi, madaktari, wauguzi na wafanyakazi muhimu kote nchini. Na tunasafirisha mamia ya tani za chakula cha dharura, dawa na vifaa vya makazi katika maeneo yaliyoathiriwa sana ya jiji la Kyiv na kwenye vijiji vilivyo katika maeneo ya mashariki.
Pia tunasafirisha timu za wataalamu wa uhifadhi ili kupata, kulinda na kuondoa kazi za sanaa, kumbukumbu zilizo hatarini na vitu vingine visivyoweza kurekebishwa vya urithi wa kitamaduni wa Ukraine na utambulisho wa kitaifa wa kujitegemea.
Mbali na kazi hii inayoendelea, Uber imekusanya dola milioni 5 kutokana na michango ya watumiaji wa kimataifa na ruzuku zetu za kiwango sawa na kiasi hicho ili kuwasaidia Waukrainia wanaohitaji dharura.
*Kwa kugusa kitufe hiki, unakiri kwamba unaondoka kwenye tovuti ya Uber.
Kuhusu