Baadhi ya vipengele vilivyoelezwa kwenye ukurasa huu havitumiki au havipatikani katika masoko yote ya Marekani, ikiwemo California na katika masoko yaliyo nje ya Marekani. Tunapojitahidi kuboresha soko, tunaweza kufanyia majaribio utendaji na bei kwa njia ambazo hazijaelezewa kwenye ukurasa huu.
¹Nyenzo zilizotolewa kwenye ukurasa huu ni kwa madhumuni ya kukufahamisha pekee na hazikuhakikishii mapato. Huenda hali za mapato zikawa tofauti kulingana na mji. Sikuzote angalia tovuti mahususi ya mji wako ili upate maelezo sahihi zaidi kuhusu ada za kusafirisha bidhaa katika mji wako.
Safirisha bidhaa ukitumia Uber Eats
Hakuna bosi. Ratiba inayoweza kubadilika. Malipo ya haraka.
Sasa unaweza kujipatia pesa kwa kusafirisha maagizo ya vyakula ambavyo watu hutamani kwa kutumia programu ya Uber Eats, unafanya haya yote ukiwa unavinjari jiji lako.
Nenda popote ukitumia Uber
Kampuni