Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Weka magari yako barabarani na huenda ukachuma pesa zaidi

Iwe unamiliki gari moja au msururu wa magari, unaweza kuimarisha uwezo wako wa mapato kwa kuyafanya yapatikane kwa madereva wanaotumia programu ya Uber.

Ongeza mapato yako ya magari

Iwe ndiyo kwanza unaanza au tayari uko barabarani, Uber hurahisisha kuongeza uwezo wako wa kuchuma mapato, bila kujali wingi wa magari yako.

Chambua utendaji wa magari

Dhibiti madereva na usaidie kuhakikisha kuwa magari mengi yapo barabarani iwezekanavyo. Unaweza kuongeza, kubadilisha, au kuondoa madereva inavyohitajika.

Tumia rasilimali za Uber—bila malipo

Angalia salio lako, fuatilia miamala na upakue ripoti za mapato, ili uweze kufanya maamuzi yenye ufahamu zaidi.

Zana za mafanikio katika kila hatua

Tovuti ya Wauzaji wa Uber hukuwezesha kuweka mipangilio ya biashara yako bila matatizo, kuweka magari barabarani, na kukusaidia kuongeza mwonekano wa magari.

Jisajili kwa urahisi

Jisajili mtandaoni bila malipo na usajili gari lako, ili uweze kuanza kuchuma mapato.

Ongeza magari yako

Baada ya kujisajili, pakia hati zinazohitajika na utayarishe magari yako kwenda mtandaoni.

Pata takwimu za uchanganuzi

Angalia mapato yako kupitia programu na uyapakue kama ripoti ukitaka.

Pata usaidizi unapohitajika

Tumia kitufe cha Usaidizi katika Tovuti ya Wauzaji kupata majibu ya maswali yako au kushughulikia matatizo yako.

Anza kupata mapato kwa kutumia magari yako

Maswali yanayoulizwa sana

  • Tovuti ya Wauzaji ni zana ya usimamizi wa magari inayotumia wavuti ambayo huwawezesha watu binafsi, wafanyabiashara, na wamiliki wa biashara kusimamia kwa urahisi magari, madereva na mapato yao kwenye jukwaa la Uber, bila gharama.

    Nenda kwenye Tovuti ya Wauzaji

  • Unaweza kuanza kwa gari moja. Hakuna kikomo kwa idadi ya magari unayoweza kuorodhesha kwa ajili ya kukodisha.

  • Ili kujisajili kwa akaunti ya wauzaji wa Uber, bofya hapa. Kisha pakia hati zinazohitajika ili kukamilisha usajili wa magari yako. Usajili ukikamilika, unaweza kutumia Tovuti ya Wauzaji wa Uber kupata madereva na kusimamia magari yako.

  • When you’re part of Uber’s community, you are never alone. Use the Help button in our Supplier Portal to get support.

  • First you’ll need to sign up as a supplier here. Then upload the required documents to complete the registration of your fleet. Once registration is complete, you can use Uber’s Supplier Portal to add your vehicles.