
Tumeshirikiana na Cape Town Fish Market ili kurahisisha mitoko yako kwa safari za bure pamoja na punguzo kwenye baadhi ya vyakula.
Unataka kufurahia TZS 4,000 kwenda na kutoka CTFM? Ni rahisi, weka kuponi ya ofa CTFMTZ kwenye app yako ya Uber kabla hujaomba safari ili kupata punguzo hili.
Huna huwakika jinsi ya kuweka kuponi ya ofa?Usijali tupo kwa ajili yako
- Fungua app ya Uber
- Bonyeza alama ya mistari mitatu upande wa juu kushoto
- Chagua ‘malipo’
- Bonyeza ‘Ongeza Kuponi ya Ofa’ ingiza ‘CTFMTZ’
- Sasa uko tayari kufanya safari!
Hatujamaliza bado! Agiza seafood platter yoyote na utapata punguzo la 15% utakapo kua umekuja na Uber. Muonyeshe mhudumu risiti yako ya Uber ya safari uliyofanya kuelekea CTFM na kupata punguzo lako.
Kama ni mtoko na marafiki au date ya kwanza, siku zote tupo kwa ajili yako!
Posted by Uber Editor
Category:
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular
Safari, Ofa11 Oktoba 2023 / Tanzania
Shinda Vocha za KFC na PizzaHut ukitumia App ya Uber
Ofa6 Aprili 2023 / Tanzania
Pata 10% ya nauli yako ukilipia safari za Uber kwa TigoPesa!

Safari, Hadithi20 Februari 2023 / Tanzania
Heshima ni kwa pande zote mbili

Safari, Ofa9 Februari 2023 / Tanzania