
Nini zaidi ya Pizza? Pata Pizza BURE ukiwa nyumbani au ofisini.
Jumatano, tarehe 24 Mei kuanzia saa 6 mchana hadi saa 9 mchana, watumiaji wa Uber wataona option mpya kwenye App yao-bonyeza kitufe cha Pizza upate Pizza yako kutoka kwa watenegenezaji bora wa Pizza, Pizza Pie, na Pizza yako itakufikia.
- Ingia kwenye App ya Uber Jumatano, tarehe 24 Mei kuanzia saa 6 mchana hadi saa 9 mchana
- Nenda kwenye sehemu ya Pizza, andika sehemu ulipo alafu agiza Pizza
- Hakikisha umeandika sehemu sahihi, na uagize Pizza yako! Kama gari la UberPizza lipo karibu yako, ombi lako litakubaliwa, na utegemee kupokea PIZZA muda si mrefu BURE!
- Pizza moja tu italetwa ukifanikiwa kuagiza.f
- Hakikisha unatoka nje ombi lako likikubaliwa, hii itasaidia kukuunganisha na dereva, na pia itaokoa muda.
- Maombi yatakuwa mengi, jaribu tena kama ombi lako la kwanza halikufanikiwa
- Offer hii ni ya Jumatano tarehe 24 Mei 2017, kuanzia saa 6 mchana hadi saa 9 mchana tu.
Una marafiki wanaopenda pizza? waambie wa download App ya Uber na waingize promo code “UBERPIZZATZ” kwenye sehemu ya malipo na wapate punguzo la TZS 3000 kwenye safari yako ya kwanza, na Pizza za bure kesho (tarehe 24 Mei)
Kwa maswali na maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram au help.uber.com
Enjoy!
Team Uber Tanzania
Posted by Margaret
Category:
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular
Safari, Ofa11 Oktoba 2023 / Tanzania
Shinda Vocha za KFC na PizzaHut ukitumia App ya Uber
Ofa6 Aprili 2023 / Tanzania
Pata 10% ya nauli yako ukilipia safari za Uber kwa TigoPesa!

Safari, Hadithi20 Februari 2023 / Tanzania
Heshima ni kwa pande zote mbili

Safari, Ofa9 Februari 2023 / Tanzania