Safirisha bidhaa ukitumia Uber Eats
Jipatie mapato kulingana na ratiba yako
Safirisha chakula wakati wowote
Fanya kazi kulingana na ratiba yako
Safirisha chakula kwa saa chache asubuhi, kila usiku au wikendi pekee, uamuzi ni wako. Unajisimamia na unaweza kuamua wakati na jinsi ya kufanya kazi.
Chagua gari
Kwa kutegemea sheria zinazotumika katika jiji lako, unaweza kusafirisha chakula ukitumia gari, pikipiki au skuta.
Pata pesa nyingi
Utapata pesa kwa kuwapelekea watu vyakula wanavyopenda. Wakati ambapo husafirishi chakula, unaweza kufanya utakacho.
1/3
1/2
1/1