Uwanja wa Ndege wa São Paulo-Congonhas (CGH)
Je, unatafuta mbinu mbadala ya usafiri ambayo si basi la kawaida la Uwanja wa Ndege wa Congonhas au teksi? Iwe unasafiri kutoka Congonhas hadi São Paulo au kutoka São Paulo hadi Congonhas, fika unakoenda ukitumia programu ya Uber unayoijua tayari. Omba gari la kukupeleka na kukurudisha kutoka CGH kwa kubofya kitufe.
Sao Paulo, SP 04626-911+55 11-5090-9000
Request a ride around the world
Bofya kitufe sasa na upate usafiri wa uwanja wa ndege katika zaidi ya vituo vikuu 700.
Safiri kama mkazi
Acha programu na dereva wako washughulikie maelezo ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika mji usiofahamu.
Safiri bila wasiwasi ukitumia Uber
Pata vipengele unavyovipenda, ikiwemo bei za wakati halisi na malipo ya kielektroniki, hata ukiwa ugenini.
Ways to ride in the area
Pickup at Uwanja wa Ndege wa São Paulo-Congonhas (CGH)
Fahamu unakoweza kuchukuliwa
Ukiwa tayari kutoka nje, chagua kituo chako na eneo ambalo ungependa kuchukuliwa kwenye programu.
Angalia App ili upate maelezo
Mara baada ya kuomba safari, utapata maelekezo kupitia programu. Katika Uwanja wa Ndege wa CGH, wasafiri huchukuliwa kwenye ghorofa ya chini.
Kutana na dereva wako
Nenda kwenye eneo lililobainishwa la kuchukua wasafiri. Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia App.
Uwanja wa Ndege wa Congonhas Map
Uwanja wa Ndege wa São Paulo-Congonhas ni uwanja wa ndege kwa ajili ya safari za ndani ya nchi ni una kituo kimoja chenye malango 12.
Top questions from riders
- Do drivers using Uber pick up at CGH?
Ndiyo. Bonyeza hapa ili uone orodha ya viwanja vya ndege kote duniani unapoweza kuitisha usafiri wa Uber.
- Usafiri wa Uber hadi CGH utagharimu pesa ngapi?
Down Small The cost of an Uber trip to Congonhas Airport (or from CGH) depends on factors that include the type of ride you request, the estimated length and duration of the trip, tolls, and current demand for rides.
You can see an estimate of the price before you request by going here and entering your pickup spot and destination. Then when you request a ride you’ll see your actual price in the app based on real-time factors.
- Ni wapi nitamkuta dereva wangu ili kuchukuliwa kwenye uwanja wa ndege?
Down Small Maeneo ya kuchukuliwa yanategemea aina ya safari unayoomba na ukubwa wa uwanja wa ndege. Fuata maelekezo kwenye programu kuhusu mahali pa kukutana na dereva wako. Unaweza pia kutafuta ishara zinazoonyesha maeneo ya kusafiri pamoja yaliyobainishwa kwenye uwanja wa ndege.
Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.
More information
Unaendesha gari ukitumia Uber?
Kuanzia eneo la kuwachukua wasafiri hadi kufuata sheria na kanuni za mahali husika, fahamu jinsi ya kufanya safari zako za uwanja wa ndege ziwe bora zaidi.
Unaelekea uwanja tofauti wa ndege?
Unaweza kushushwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 700 vya ndege kote ulimwenguni.
Maelezo kwaa wageni kwenye Uwanja wa Ndege wa Congonhas
Uwanja wa Ndege wa Sao Paulo–Congonhas (CGH) ni moja ya viwanja 4 vya ndege vinavyohudumia jiji la Sao Paulo. Zaidi ya wasafiri milioni 21 hupitia CGH kila mwaka. Uwanja huo upo umbali wa kilomita 10 (maili 6) kutoka jiji la Sao Paulo, takribani mwendo wa dakika 20 kwa kuendesha gari kutoka katikati ya jiji wakati hakuna foleni au vikwazo vingine barabarani.
Vituo katika Uwanja wa Ndege wa Congonhas
CGH una kituo kimoja kikuu. Kumbi za Uwanja wa Ndege wa CGH zipo katika maeneo 3 katika kituo kikuu. Unaweza kupanga safari yako ukitumia taarifa zilizo hapa chini.
Kituo katika Uwanja wa Ndege wa CGH
- Avianca
- Azul
- GOL
- LATAM
- TAP Air Portugal
- Webjet
- Diners Club
Kituo cha kimataifa katika Uwanja wa Ndege wa CGH
Hakuna safari za kimataifa zinazotokea CGH.
Kupata mlo katika Uwanja wa Ndege wa Congonhas
Uwanja wa ndege wa CGH una sehemu 13 za kupata mlo katika jengo kuu la kituo, ambazo ni pamoja na maduka ya kahawa, baa, maduka ya vitafunio na migahawa ya huduma ya kulia mezani. Aina ya vyakula vilivyo katika Uwanja wa Ndege wa CGH ni pamoja na vya Ureno na vya kimataifa.
Kusafiri katika Uwanja wa Ndege wa Congonhas
CGH hauna mfumo wowote wa usafiri wa ndani.
Mambo ya kufanya ukiwa katika Uwanja wa Ndege wa Congonhas
Kuna zaidi ya maduka kumi katika Uwanja wa Ndege wa CGH, yakiwemo ya kuuza magazeti na maduka ya nguo.
Kubadilisha sarafu katika Uwanja wa Ndege wa Congonhas
Ofisi ya kubadilisha fedha katika uwanja wa ndege wa CGH ipo katika ghorofa ya kwanza ya kituo cha wageni.
Hoteli zilizo karibu na Uwanja wa Ndege wa Congonhas
Iwe unasubiri ndege nyingine au ndege imechelewa usiku kucha, au kama unahitaji mahali pa kukaa karibu na CGH, kuna zaidi ya hoteli 20 na maeneo ya kulala karibu.
Vivutio karibu na Uwanja wa Ndege wa Congonhas
- Ibirapuera Park
- Soko la Manispaa ya Sao Paulo
- Paulista Avenue
- Pico do Jaraguá
Pata maelezo zaidi kuhusu CGH hapa.
This page contains information from third-party websites that are not under the control of Uber and that may be periodically changed or updated. Any information included on this page that is not directly related to Uber or its operations is for informational purposes only and in no way shall be relied upon, or interpreted or construed to create any warranties of any kind, either express or implied, regarding the information contained herein. Certain requirements and features vary by country, region, and city.
Kuhusu