Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Kusafiri ukitumia Uber jijini Paris katika majira ya kiangazi mwaka huu

Ni wakati wa kusisimua nchini Ufaransa kwani mamilioni ya watu wanatarajiwa kuzuru mwaka 2024. Iwe unaishi jijini Paris au unawasili kwa ajili ya matukio maalumu, tumia Uber kuomba safari sasa au baadaye.

search
search
search
search

Panga mapema kusafiri jijini Paris

Kupitia kipengele chetu kipya kwenye programu ya Uber, unaweza kugundua bei za wastani na muda wa kusubiri kwa safari katika jiji kuu la Ufaransa, hata ikiwa kwa sasa uko katika jiji jingine. Tafadhali kumbuka: makadirio haya yanategemea data ya kihistoria kote jijini Paris.

Ili upate bei za wastani na muda wa kusubiri, fungua programu ya Uber, chagua Unaenda wapi?, sogeza chini ili Utafute katika jiji tofauti, kisha uchague Paris.

Ungependa kuratibu safari zako mapema? Unaweza kuweka nafasi ya safari zako mapema kwa kutumia kiungo kilicho hapa chini.

Safari za uwanja wa ndege

Baada ya kulipa forodha katika Uwanja wa Ndege wa Paris-Charles de Gaulle (CDG) au Uwanja wa Ndege wa Paris Orly (ORY), fungua programu ya Uber ili uombe safari yako.

Hakikisha unafuata maelekezo yetu ya ndani ya programu ukitumia picha ili kukuelekeza kwenye eneo la kuchukuliwa. Ikiwa ni lazima, wasiliana na dereva wako ili uthibitishe eneo bora la kuchukuliwa.

Vipimo vya usalama

Maeneo kadhaa ya usalama yataundwa kote jijini Paris na haya yanaweza kubadilika kila siku.

Ikiwa utachukuliwa au kushushwa ndani ya eneo la usalama, huenda ukahitaji kuwasilisha hati zinazohitajika, kama vile tiketi rasmi ya tukio, Pass Jeux au msimbo wa QR.

Kuchukuliwa na kushushwa kwenye eneo

Tafuta maeneo yaliyobainishwa ya kuchukuliwa na kushushwa ya usafiri wa pamoja yaliyo umbali mfupi kutoka kwenye maeneo mengi ya matukio. Hapa chini kuna orodha kamili.

Wasafiri wanapaswa kuvinjari programu ya Uber na kuzingatia ofa zote. Wakati mwingine ni bora kutumia usafiri wa umma vituo kadhaa vya kusimama kutoka kwenye tukio kabla ya kuomba safari wa Uber hadi mahali unakoenda.

Na kumbuka kwamba kutakuwa na ufungaji wa barabara na ucheleweshaji kutokana na msongamano wa magari, kwa hivyo jaribu kuondoka mapema au wakati ambapo hakuna shughuli nyingi ili uepuke umati wa watu.

  • Rue de la chapelle

    Sehemu ya ufikiaji: 100 Rue de la chapelle

  • 8 Rue Gaston Tissandier

    Sehemu ya ufikiaji: 8 Rue Gaston Tissandier

  • Boulevard Ney

    Sehemu ya ufikiaji: 8 Rue Gaston Tissandier

  • Rue Boucry

    Rue de la chapelle Sehemu ya ufikiaji: 100 Rue de la chapelle

    8 Rue Gaston Tissandier Sehemu ya ufikiaji: 8 Rue Gaston Tissandier

    Boulevard Ney Sehemu ya ufikiaji: 8 Rue Gaston Tissandier

    Sehemu ya ufikiaji: 8 Rue Boucry

  • 1 Rue Gaston Tissandier

    Sehemu ya ufikiaji: 1 Rue Gaston Tissandier

  • Rue Griffard

    Sehemu ya ufikiaji: Rue Griffard

Kuchukuliwa na kushushwa kwenye eneo

Kuwa mwangalifu kwa maeneo yaliyobainishwa ya kuchukuliwa na kushushwa ya usafiri wa pamoja yaliyo umbali mfupi kutoka kwenye maeneo mengi ya matukio. Wasafiri wanapaswa kuvinjari programu ya Uber na kuzingatia ofa zote. Wakati mwingine ni bora kutumia usafiri wa umma vituo kadhaa vya kusimama kutoka kwenye tukio, kabla ya kuomba Uber hadi mahali unakoenda.

Na kumbuka kwamba kutakuwa na ufungaji wa barabara na ucheleweshaji kutokana na msongamano wa magari, kwa hivyo jaribu kuondoka mapema au wakati ambapo hakuna shughuli nyingi ili uepuke umati wa watu.

Huduma za kipekee za Uber

Kwa muda mfupi, wasafiri wanaweza kuweka nafasi ya safari ya siku moja kutoka Paris hadi eneo la Champagne nchini Ufaransa wakitumia Uber Bubbles (hadi tarehe 17 Agosti) au kusafiri kwenye Mto Seine wakitumia Uber Cruise (tarehe 12-19 Julai na tarehe 28 Julai-3 Agosti). Ofa zote mbili zinapatikana kwa ajili ya kuweka nafasi baada ya kuwasili jijini Paris.

Ikiwa unasafiri umbali mfupi, baiskeli za umeme ni chaguo bora sikuzote. Jaribu kuweka nafasi ya baiskeli umeme ya Lime moja kwa moja kwenye programu ya Uber.

Furahia Paris katika majira ya joto ya mwaka huu ukitumia Uber

Furahia Paris katika majira ya joto ya mwaka huu ukitumia Uber