Ruka uende katika maudhui ya msingi
Uber
Uber

Uwanja wa Ndege wa Paris-Orly (ORY)

Iwe unasafiri kuelekea Paris kutoka Uwanja wa Ndege wa Orly au kutoka Paris kuelekea Uwanja wa Ndege wa Orly, iamini Uber kukufikisha unakoenda.

94390 Orly, France
+33 1-49-75-45-12

Njia bora zaidi ya kusafiri

Itisha usafiri kote ulimwenguni

Bonyeza tu kitufe ili upate usafiri wa angani katika zaidi ya viwanja vikuu 500.

Safiri kama mwenyeji

Acha App na dereva wako ashughulikie masuala ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika jiji ambapo wewe ni mgeni.

Safiri bila wasiwasi kwa kutumia Uber

Pata vipengele unavyovipenda, ikiwa ni pamoja na bei zinazooneshwa moja kwa moja na uwezo wa kulipa bila pesa taslimu, hata ukiwa ugenini.

Mfumo wa Uber wa kukadiria nauli

Sampuli za bei za msafiri ni makadirio tu na hazioneshi mabadiliko yanayotokana na mapunguzo, kucheleweshwa kwenye foleni na mambo mengine. Tunaweza kutumia nauli isiyobadilika na bei za chini zaidi. Bei halisi zinaweza kubadilika.

Njia za kusafiri

  • UberX1-4

    Affordable, everyday rides

  • Berline1-4

    Premium rides in luxury cars

Jinsi ya kupata usafiri wa Uber kutoka uwanja wa ndege

Fungua App yako ili uitishe usafiri

Ukiwa tayari kutoka nje, fungua programu yako kisha uitishe usafiri. Chagua usafiri unaotoshea idadi ya wasafiri na mizigo mliyo nayo.

Fuata maelekezo katika App

Utapata maelekezo kuhusu eneo la kuchukua wasafiri moja kwa moja katika programu. Pia kunaweza kuwa na alama katika uwanja wa ndege.

Kutana na dereva wako

Nenda katika eneo la kuchukuliwa jinsi ilivyobainishwa katika App. Tafadhali kumbuka, eneo hilo huenda halitakuwa karibu kabisa na lango unaloondokea. Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia App.

Vidokezo vya kuzingatia katika Uwanja wa Ndege wa Orly

WiFi katika Uwanja wa Ndege wa Orly

Kuna huduma ya WiFi kwa wasafiri walio katika Uwanja wa Ndege wa Orly kupitia Paris Aéroport, ada ya intaneti ya kawaida ni kuanzia €2.90 kwa dakika 20 hadi €5.90 kwa saa moja, au intaneti thabiti zaidi kwa €9.90 saa 24.

Maegesho katika Uwanja wa Ndege wa Paris-Orly

There are 7 car parks at Paris-Orly Airport, all open 24/7. Options include short-stay, long-stay, and special lanes and spaces for motorcycles and people with reduced mobility, as well as subscriber and reservation-only parking.

Kubadilisha sarafu katika Uwanja wa Ndege wa Orly

Uwanja wa Ndege wa Orly una ofisi ya Travelex ya kubadilisha hela za kigeni, inapatikana katika Ukumbi wa A kwenye Kituo cha Kusini. Unaweza kuagiza mapema hela za kigeni mtandaoni kisha uzichukue katika tawi, pia unaweza kupata kadi ya benki ambayo tayari imewekewa salio au utumie ATM za kubadilisha hela zinazopatikana kati maeneo mbalimbali ya vituo vyote viwili.

Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana

Uber inapatikana katika Uwanja wa Ndege wa ORY, kwa hivyo unaweza kufurahia usafiri wa starehe na uhakika popote unapotaka kwenda.

Maeneo ya kuchukua wasafiri wa Uber katika viwanja vya ndege yanaweza kubadilika, kwa hivyo ili kupata eneo la kuchukuliwa, angalia programu yako ya Uber kila baada ya kuitisha usafiri.

Hata kama safari si ndefu sana, ada za Uber kutoka na kwenda Uwanja wa Ndege wa Orly zinaweza kuathiriwa na muda, foleni na masuala mengine. Angalia mfumo wa kukadiria nauli wa Uber ili ufahamu makadirio ya nauli ya safari.

Muda wa kuchukuliwa unaweza kutofautiana kulingana na wakati, idadi ya madereva wanaopatikana na masuala mengine.

Maelezo zaidi

Unatumia mfumo wa Uber kuendesha gari?

Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kurahisisha huduma unayopokea katika viwanja vya ndege, zikiwemo sheria na kanuni za nchi husika.

Je, unaelekea uwanja tofauti wa ndege?

Unaweza kupelekwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 500 vya ndege kote duniani.

Vituo katika Uwanja wa Ndege wa Orly