Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Pata usafiri unaohitaji wakati wowote

Itisha usafiri, ingia na uende.

search
Weka mahali
Navigate right up
search
Weka mahali unakoenda

Kwa nini utumie App ya Uber?

Usafiri unapouhitaji

Itisha usafiri wakati na siku yoyote ya mwaka.

Usafiri wa bei nafuu

Linganisha nauli za usafiri tofauti, iwe ni safari za kila siku au safari maalum unapoenda kujiburudisha jioni.

Njia rahisi ya kukufikisha unakoenda

Bonyeza na umruhusu dereva wako akufikishe unakoenda.

Usalama wako ni muhimu

Safiri bila wasiwasi wowote.

Vipengele vya usalama

Waoneshe wapendwa wako mahali uliko. Pata usaidizi kwa kubofya kitufe tu. Teknolojia imeboresha pakubwa usalama wa safari.

Jumuiya inayojali maslahi ya kila mtu

Mamilioni ya wasafiri na madereva wetu hutumia Mwongozo wa Jumuiya na tunatarajia kila mtu afanye jambo linalofaa.

Kuna usaidizi wakati wowote

Pata usaidizi katika programu wakati wowote iwapo una maswali au wasiwasi kuhusu usalama.

Weka nafasi ya usafiri ulio tayari wakati wowote

Sasa kuliko wakati mwingine wowote, kuweka nafasi ni njia ya maisha. Weka nafasi ya huduma ya starehe ya Uber, hadi siku 90 mapema, kwa wakati wowote utakapokuwa tayari kusafiri.

Aina za usafiri ukiwa eneo husika

;

Kila mahali unakosafiri

Zaidi ya miji 10,000

Programu hii inapatikana katika maelfu ya miji kote ulimwenguni, kwa hivyo unaweza kuomba safari hata ukiwa mbali na nyumbani.

Viwanja vya ndege 700 na zaidi

Unaweza kuitisha usafiri kwenda na kutoka kwenye baadhi ya viwanja vikuu vya ndege. Panga usafiri wa kwenda kwenye uwanja wa ndege kwa urahisi.

Njia ambazo watu hutumia kusafiri kote ulimwenguni

App ya Uber inakupa uwezo wa kufika unakotaka kwenda kwa kutumia aina mbalimbali za usafiri katika zaidi ya miji 10,000.

Maswali yanayoulizwa sana

  • Download the Uber app from the App Store or Google Play, then create an account with your email address and mobile phone number. A payment method is also needed before you can request a ride.

  • Unaweza kupata Uber katika zaidi ya miji 10,000 kote ulimwenguni.

  • Ukiwa tayari kuondoka, fungua App kisha uweke mahali unakoenda. Kisha chagua aina ya usafiri unaokidhi mahitaji yako. Thibitisha eneo lako la kuchukuliwa kwa kubonyeza Thibitisha Kuchukuliwa .

  • Ndiyo, katika masoko mengine, unaweza kuitisha usafiri kwa kuingia katika akaunti yako kwenye m.uber.com.

Fanya mambo zaidi ndani ya App

Fanya mambo zaidi ndani ya App

Baadhi ya masharti na vipengele hutofautiana kulingana na nchi, eneo na jiji.