Ruka uende katika maudhui ya msingi

Weka nafasi ya usafiri kwa Uber

Je, kusafiri kwa Uber kunagharimu pesa ngapi?

Ratibu safari itakayofuata kupitia mfumo wa kukadiria nauli. Jifahamishe kabla ya safari ili ujipange mapema.

search
search
search
search

Huenda bidhaa zisipatikane katika maeneo yote ya jiji lako. Tafadhali angalia programu yako ili uone ikiwa inapatikana.

Jinsi bei hukadiriwa

Katika miji mingi, nauli unayolipa huhesabiwa mapema, kabla ya kuthibitisha usafiri. Katika miji mingine, utaona makadirio ya kiwango cha nauli*. Zifuatazo ni baadhi ya ada na vigezo vinavyoweza kuathiri nauli yako:

*Angalia vigezo na masharti ya nauli husika katika mji wako

Ada ya kawaida

Ada ya kawaida inategemea wakati na umbali wa safari.

Ada ya uendeshaji

Katika jiji lako, huenda ukatozwa ada isiyobadilika kwa kila safari. Inasaidia kulipia gharama za uendeshaji, udhibiti na usalama.

Nyakati na maeneo yenye wateja wengi

Wakati kuna wasafiri wengi kuliko madereva wanaopatikana, bei zinaweza kuongezeka kwa muda hadi idadi ya madereva na wasafiri ilingane.

Njia za kusafiri katika eneo hili

;

Kupata pesa kwa kuendesha gari kwa kutumia App ya Uber

Endesha gari ukitumia Uber unapotaka na upate pesa kulingana na ratiba yako.

Gundua nyenzo na ofa zilizo kwenye programu ambazo zinaweza kukusaidia upate mapato zaidi.

Maswali yanayoulizwa sana

  • Nauli utakayolipa itahesabiwa na kuwekwa kwenye njia ya malipo uliyoweka moja kwa moja baada ya kuwasili katika eneo unakoenda.

  • Ndiyo, unaweza kuitisha usafiri kwenda na kuondoka kwenye viwanja vingi vikuu vya ndege kote ulimwenguni. Nenda kwenye ukurasa wetu wa viwanja vya ndege ili uone maeneo ambayo Uber inapatikana.

  • Katika miji mingi, malipo ya huduma za Uber hufanyika kielektroniki. Katika miji ambako malipo hufanyika kwa pesa taslimu, ni lazima uteue chaguo hili kabla ya kuitisha usafiri.

  • Fungua programu na uweke mahali unakoenda katika kisanduku cha “Unaenda wapi?”. Utaona kadirio la bei kwa kila chaguo la safari; sogeza ili uone linalopatikana katika eneo lako.