Ruka uende katika maudhui ya msingi

Je, kusafiri kwa Uber kunagharimu pesa ngapi?

Panga safari itakayofuata kupitia mfumo wa kukadiria nauli.

Mapendekezo

Linganisha chaguo zako za usafiri

Weka mahali pa kuchukuliwa na unakoenda ili kukagua muda wa safari unaokadiriwa na bei kwa kila njia ya kusafiri.

  • Maelezo ya safari

    Maelezo ya safari

    Down Small

    Bonyeza kitufe cha kishale cha chini ili kuingiliana na kalenda na uchague tarehe. Bonyeza kitufe cha kutoka ili kufunga kalenda.

    Sasa
    Siku iyo hiyo

Jinsi bei hukadiriwa

Katika miji mingi, nauli unayolipa huhesabiwa mapema, kabla hujathibitisha safari. Katika miji mingine, utaona makadirio ya bei.* Hizi ni baadhi ya ada na mambo yanayoweza kuathiri bei yako:

Ada ya kawaida

Ada ya kawaida inategemea wakati na umbali wa safari.

Ada ya uendeshaji

Katika jiji lako, huenda ukatozwa ada isiyobadilika kwa kila safari. Inasaidia kulipia gharama za uendeshaji, udhibiti na usalama.

Nyakati na maeneo yenye wateja wengi

Wakati kuna wasafiri wengi kuliko madereva wanaopatikana, bei zinaweza kuongezeka kwa muda hadi idadi ya madereva na wasafiri ilingane.

Kuchuma pesa kwa kutumia programu ya Dereva wa Uber

Endesha gari au ulete (au zote mbili) ukitumia Uber wakati wowote unapotaka, na upate pesa kwa ratiba yako.

Jua nyenzo na ofa zinazoweza kukusaidia kuongeza mapato yako.

Maswali yanayoulizwa sana

Ni wakati gani nitatozwa ada ya safari?

Nauli utakayolipa itahesabiwa na kuwekwa kwenye njia ya malipo uliyoweka moja kwa moja baada ya kuwasili katika eneo unakoenda.

Ninaweza kupata usafiri wa Uber kutoka uwanja wa ndege?

Ndiyo, unaweza kuitisha usafiri kwenda na kuondoka kwenye viwanja vingi vikuu vya ndege kote ulimwenguni. Nenda kwenye ukurasa wetu wa viwanja vya ndege ili uone maeneo ambayo Uber inapatikana.

Ninaweza kulipia safari kwa Uber kwa pesa taslimu?

Katika miji mingi, malipo ya huduma za Uber hufanyika kielektroniki. Katika miji ambako malipo hufanyika kwa pesa taslimu, ni lazima uteue chaguo hili kabla ya kuitisha usafiri.

Ninapataje kadirio la nauli kwenye programu?

Fungua programu na uweke mahali unakoenda katika kisanduku cha “Unaenda wapi?”. Utaona kadirio la bei kwa kila chaguo la safari; sogeza ili uone linalopatikana katika eneo lako.